DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Wanafunzi wala hawajui kinachoendelea juu ya huu mpango wa fitina. Yawezeka wengine wasijiandikishe kabisa au wajiandikishe lkn wasipige kura lkn fitina itawapigia kura.Kama wanafunzi watakuwa likizo inamaana wataingiza kula kutoka kusikojulikana?
Sent using Jamii Forums mobile app