Uchaguzi 2020 Bunda: Haijawahi kutokea Esther Bulaya avunja rekodi akusanya watu kwa maelfu,Wazee wa mji wasema niyeye tu Bunda Mjini Oct 25

Kijana wewe ni hatari huangalii sura mradi kuwe na maslahi tu mara hii umeshamrukia bulaya!
 
Leo hii lazima mtalazimika kukesha kumjadili huyu mama maana mkutano wake umewatisha
Kijana wewe ni hatari huangalii sura mradi kuwe na maslahi tu mara hii umeshamrukia bulaya!

In God we Trust
 
Oh mikutano ya hadhara imekatazwa, sasa huu ni nini?

Kwani huu kukubaliwa ndio inamaanisha inaruhusiwa? Kumekuwa na tabia ya kuzuia mikutano kumi ya cdm, kisha unaruhusiwa mkutano mmoja halafu nyie watetezi wa uovu mnakuja hapa kusema eti mikutano haizuiwi.
 
Huu mtiti umezidi maadhimisho ya ccm kimkoa yaliyofanyika kiwanja hichohicho.Katika safari zangu kanda ya ziwa nilibahatika kuliona hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…