Mkuu, una uhakika gani kama huyu ni MZEE kweli? Unaweza kuta ni kati ya wale vijana wa Lumumba walionunuliwa smart phone kwaajili ya kazi moja tu, Kupamba, Kusifu na Kutukuza utawala wa hovyo wa JIWE.Ile barua ya Tunduma uliiona au unajipofusha macho, hivi kama nyie wazee mnajifanya hamuoni itakuaje kwa vijana
Sent using Jamii Forums mobile app
Usizeeke vibaya mzee......kwenye umri mkubwa wazee huzungumza kwa busara zaidi siyo ushabiki. Mzee mshabiki always ni yule arosto asiye na mbele wala nyuma. Wewe ni moja ya wazee arosto? Ughaibuni kumekupotezea muda na sasa unatafuta huruma 'nyumbani'?Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Hahahaaaaa......... Siasa ni sayansi bwashee.
CCM imefocus kwenye ushindi wa 99.99%........kama ulipofikia uchunguzi wa Kangi!
Acheni ujinga kwa hio hao wote wamejiandikisha kwenye daftari kujiakikishia kura,je hao wote watapiga kura hata kl waleshajiandikisha,je wote warakuwepo siku ya uchaguzi[emoji3480]
Mzee samahani nina swali;... are you serious or for some reasons you are out of mind/...control?Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Inawezekana...ila hizo picha unaziamini...Kama sijakosea nafahamu wewe ni professional photographer pia
Tangu lini bunda palikuwa pepesi?bulaya hana chake October 2020, bunda ni pagumu,muda utaongea
kwa hiyo wanaokuwepo mpaka wakati wa kupiga kura ni wale wanaohudhuria mikutano ya CCM pekee!, ila wa CDM huwa mwisho wa siku wanapotelea hewani!Acheni ujinga kwa hio hao wote wamejiandikisha kwenye daftari kujiakikishia kura,je hao wote watapiga kura hata kl waleshajiandikisha,je wote warakuwepo siku ya uchaguzi[emoji3480]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bunda kwa kupiga kura?!...au labda huijui Bunda sawsawa wewe.Acheni ujinga kwa hio hao wote wamejiandikisha kwenye daftari kujiakikishia kura,je hao wote watapiga kura hata kl waleshajiandikisha,je wote warakuwepo siku ya uchaguzi[emoji3480]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ujinga kwa hio hao wote wamejiandikisha kwenye daftari kujiakikishia kura,je hao wote watapiga kura hata kl waleshajiandikisha,je wote warakuwepo siku ya uchaguzi[emoji3480]
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo wanaokuwepo mpaka wakati wa kupiga kura ni wale wanaohudhuria mikutano ya CCM pekee!, ila wa CDM huwa mwisho wa siku wanapotelea hewani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usituone sisi ni wajinga kama wewe...huyo Bulaya anaweza kushiriki kazi za kuieneza CHADEMA apa CHATO?Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Usituone sisi ni wajinga kama wewe...huyo Bulaya anaweza kushiriki kazi za kuieneza CHADEMA apa CHATO?
Hivi unaenda kanisani au mskitini?
Hata udikteta kuweza kunawiri kunatokana na ulegevu wa umma. Lakini watu tukiwa imara kutetea katiba yetu, kutetea uhuru wetu, kutetea haki zetu, hakika kamwe hakutakuwa na mtu yeyote wa kutuburuza, si Polisi, si TISS, si Rais wala CCM.Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
ndugu, ina maana hujasoma these last couple of weeks tu at least mikutano 3 ya upinzani imezuiwa (Kibamba, Kigoma, Tunduma, nk)?!!Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...