Nakuona hapo uliponyimwa posho ukarukia upande wa pili!
Ulanzi ukishakolea hata nguo utavua vuaaaaaaaaaa!
Mikutano si imezuiwa!
Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Wangekuua ile siku yaani umkwapulie mtu mfukoni ujitie kuvaa magwanda kwa kisingizio wewe ni kamanda!
Mzee akili umepeleka wapi?Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Mkuu huyu sio mzee kiumri bali mzee wa akili sio bure.Mzee umeweka likizo akili yako, hivi kweli huoni jinsi wapinzani wanavyozuiwa, juzi tu hapa Tunduma mbunge kazuiwa kisa taarifa za kiintelijensia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa polis wanajiingiza kwenye majukumu yasiyo yao.siasa wawaachie wanasiasa.
Wanakatazwa sana, heche analazimishwa Na polis kufunga mkutano wake Wa kuongea Na wananchi wake.ABC ZA 2020, kumbe siyo kweli kuwa wanakatazwa kufanya mikutano?!
LIMBOMAMBOMA, ukisema alilazimishwa kufunga mkutano utakuwa unatuambia pia kuwa alikuwa anafanya mkutano, si ndiyo?Wanakatazwa sana, heche analazimishwa Na polis kufunga mkutano wake Wa kuongea Na wananchi wake.
Sasa kuruhusiwa kwa Huo Mmoja ndio justification kwamba Mikutano ya Upinzani haizuiliwi??
Hujaona Kule Tunduma walivyozuiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningelikuwa waziri Wa mambo ya ndani ningekomesha ujinga huu Wa jeshi LA polis.polis walinde usalama Wa RAIA Na Mali zao, siasa sio kazi yao wawaachie wanasiasa...angalia jinsi POLISI walivyojizatiti kwa SILAHA.
..unaweza kudhani labda wabunge wa CDM ni magaidi.
Cc Mzee Mwanakijiji
Kwani Ni dhambi kwa mbunge kufanya mkutano? Mbunge ana haki ya kuongea Na RAIA wake wakati wowote.wanasiasa wawe huru kama kina bashiru Na polepole wanapepea popote Tanzania kumwaga Sera zao.LIMBOMAMBOMA, ukisema alilazimishwa kufunga mkutano utakuwa unatuambia pia kuwa alikuwa anafanya mkutano, si ndiyo?
LIMBOMAMBOMA, sheria inasemaje?Kwani Ni dhambi kwa mbunge kufanya mkutano? Mbunge ana haki ya kuongea Na RAIA wake wakati wowote.wanasiasa wawe huru kama kina bashiru Na polepole wanapepea popote Tanzania kumwaga Sera zao.
Hiyo sio sawa.wananchi ndo waamuzi.Chadema, Cuf, ACT, NCCR hawaruhusiwi kujitangaza Chato mpaka wakati wa kampeni,
hiyo ni sawa?
We unajua inasemaje.muulize bashiru atakwambia Na polepole.kwangu Tanzania natamani wanasiasa wote wawe huru, wananchi waamue kwenye sanduku LA kura.LIMBOMAMBOMA, sheria inasemaje?