LIMBOMAMBOMA, usiwe kama Kasuku kwa kutoa yasiyo ya kwako; tunajadiliana hapa wewe na mimi halafu unaletea watu ambao hawako hapa?!We unajua inasemaje.muulize bashiru atakwambia Na polepole.kwangu Tanzania natamani wanasiasa wrote wawe huru, wananchi waamue kwenye sanduku LA kura.
tWe unajua inasemaje.muulize bashiru atakwambia Na polepole.kwangu Tanzania natamani wanasiasa wote wawe huru, wananchi waamue kwenye sanduku LA kura.
Kuna jambo LA kujadili sio hili Mkuu.binafsi nachukizwa sana Na uonevu Na ubaguzi.kwangu natamani wabunge wote wawe huru kufanya shughuli zao bila kusahau wanasiasa Wa vyama vyote.RAIA tuamue kupitia sanduku.polis walinde usalama Wa RAIA Na Mali zao.hill nitatea kwa mwanachama Wa chama chochote ndugu.LIMBOMAMBOMA, usiwe kama Kasuku kwa kutoa yasiyo ya kwako; tunajadiliana hapa wewe na mimi halafu unaletea watu ambao hawako hapa?!
Kwani Ni dhambi kwa mbunge kufanya mkutano? Mbunge ana haki ya kuongea Na RAIA wake wakati wowote.wanasiasa wawe huru kama kina bashiru Na polepole wanapepea popote Tanzania kumwaga Sera zao.
LIMBOMAMBOMA, unachanaganya sana mambo kiasi kwamba ni ngumu kukuelewa, naona hasira zako na kwa sababu una hasira uwezo wako wa kufikiri vizuri utakuwa umeathirika- wewe si wewe- rudi uwe weweKuna jambo LA kujadili sio hili Mkuu.binafsi nachukizwa sana Na uonevu Na ubaguzi.kwangu natamani wabunge wote wawe huru kufanya shughuli zao bila kusahau wanasiasa Wa vyama vyote.RAIA tuamue kupitia sanduku.polis walinde usalama Wa RAIA Na Mali zao.hill nitatea kwa mwanachama Wa chama chochote ndugu.
Sisi wengine Ni wazalendo kwa taifa letu Na watu wake.tunaamini ustawi Wa taifa letu Ni hali Na usawa.ubaguzi kwa misingi ya vyama hapana, sisi wote Ni watanzania.t
Bashiru, Polepole na Nchimani Walwa hawataki hiyo habari ijulikane na Wanyonge.
Kwangu ningekuwa waziri Wa mambo ya ndani ningepiga marufuku maocd kujiingiza kwenye siasa.polis wajadiliane Na wanasiasa pale panapokuwa Na utata sio kuzuia.Wao ruksa,
wengine NO, NO, NO, NO, NO, NO ni kwenye majimbo yao tu.
Kwenye majimbo mengine INTELIJINSIA inaonesha kutakuwa na UVUNJIFU wa AMANI.
Mambo gani nachanganya? Polepole yuko Pemba Ni mbunge Wa huko? Natamani wote wawe huru hata rungwe.LIMBOMAMBOMA, unachanaganya sana mambo kiasi kwamba ni ngumu kukuelewa, naona hasira zako na kwa sababu una hasira uwezo wako wa kufikiri vizuri utakuwa umeathirika- wewe si wewe- rudi uwe wewe
tatizo mkuu unatumia kiungo chakutolea uchafu kufikiri ndio maana unapata mawazo yaliojaa ukakasiSafi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Ningelikuwa waziri Wa mambo ya ndani ningekomesha ujinga huu Wa jeshi LA polis.polis walinde usalama Wa RAIA Na Mali zao, siasa sio kazi yao wawaachie wanasiasa.
Inamuhusu aliyemuua chacha wangwe!Na bado ICC inawahusu nyinyi makatili
In God we Trust
Thubutu umeshindwa kumvagaa nyalandu umegundua ni nati!Mimi siyo kama wewe unajifanya mwana ccm kumbe unafuata maslahi.
In God we Trust
Hata siafu pia ana wafuasi!Kumbe hao wafuasi ni vibaka siyo? Amakweli kuzaa siyo kupata
In God we Trust
Inamuhusu aliyemuua chacha wangwe!
HaahaaaUwaziri wa Mambo ya ndani kama umejiteua wewe utapiga marufuku polisi na kibaki na uwaziri wako,
kama nimekuteua Mimi, mshahara nakulipa Mimi, gari nimekupa Mimi halafu uzuie polisi wangu kuzuia siasa za upinzani kuenea nchi nzima, hiiiiiiiiiiiniyo!?!!!!πβοΈπͺπππ
Thubutu umeshindwa kumvagaa nyalandu umegundua ni nati!
M.M Mwanakijiji nilikuwa nikisoma makala zako gazetini zimejaa tafakuri nzito, zilikuwa ni makala zenye kuonesha njia ila hakuna marefu yasiyo na ncha, zama zako zimekwishaSafi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Hata siafu pia ana wafuasi!
M.M Mwanakijiji nilikuwa nikisoma makala zako gazetini zimejaa tafakuri nzito, zilikuwa ni makala zenye kuonesha njia ila hakuna marefu yasiyo na ncha, zama zako zimekwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Walisema kuzikwa na watu wengi sio kwenda peponi kumuombea duwa ili ikifika time ya mkikimiki wasimtose kwenye usiri wa sanduku la kura.Huyu binti ni jembe kweli kweli, ni mwanamke wa shoka, tena mimi najisikia very proud kum spot toka kitambo!, angalia tarehe ya bandiko hili
PMbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!
Wanabodi, Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio kubwa la ushujaa mkubwa katika medani za siasa. Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya...www.jamiiforums.com