Uchaguzi 2020 Bunda: Haijawahi kutokea Esther Bulaya avunja rekodi akusanya watu kwa maelfu,Wazee wa mji wasema niyeye tu Bunda Mjini Oct 25

We unajua inasemaje.muulize bashiru atakwambia Na polepole.kwangu Tanzania natamani wanasiasa wrote wawe huru, wananchi waamue kwenye sanduku LA kura.
LIMBOMAMBOMA, usiwe kama Kasuku kwa kutoa yasiyo ya kwako; tunajadiliana hapa wewe na mimi halafu unaletea watu ambao hawako hapa?!
 
We unajua inasemaje.muulize bashiru atakwambia Na polepole.kwangu Tanzania natamani wanasiasa wote wawe huru, wananchi waamue kwenye sanduku LA kura.
t

Bashiru, Polepole na Nchimani Walwa hawataki hiyo habari ijulikane na Wanyonge.
 
LIMBOMAMBOMA, usiwe kama Kasuku kwa kutoa yasiyo ya kwako; tunajadiliana hapa wewe na mimi halafu unaletea watu ambao hawako hapa?!
Kuna jambo LA kujadili sio hili Mkuu.binafsi nachukizwa sana Na uonevu Na ubaguzi.kwangu natamani wabunge wote wawe huru kufanya shughuli zao bila kusahau wanasiasa Wa vyama vyote.RAIA tuamue kupitia sanduku.polis walinde usalama Wa RAIA Na Mali zao.hill nitatea kwa mwanachama Wa chama chochote ndugu.
 
Kwani Ni dhambi kwa mbunge kufanya mkutano? Mbunge ana haki ya kuongea Na RAIA wake wakati wowote.wanasiasa wawe huru kama kina bashiru Na polepole wanapepea popote Tanzania kumwaga Sera zao.

Wao ruksa,

wengine NO, NO, NO, NO, NO, NO ni kwenye majimbo yao tu.

Kwenye majimbo mengine INTELIJINSIA inaonesha kutakuwa na UVUNJIFU wa AMANI.
 
Kuna jambo LA kujadili sio hili Mkuu.binafsi nachukizwa sana Na uonevu Na ubaguzi.kwangu natamani wabunge wote wawe huru kufanya shughuli zao bila kusahau wanasiasa Wa vyama vyote.RAIA tuamue kupitia sanduku.polis walinde usalama Wa RAIA Na Mali zao.hill nitatea kwa mwanachama Wa chama chochote ndugu.
LIMBOMAMBOMA, unachanaganya sana mambo kiasi kwamba ni ngumu kukuelewa, naona hasira zako na kwa sababu una hasira uwezo wako wa kufikiri vizuri utakuwa umeathirika- wewe si wewe- rudi uwe wewe
 
t

Bashiru, Polepole na Nchimani Walwa hawataki hiyo habari ijulikane na Wanyonge.
Sisi wengine Ni wazalendo kwa taifa letu Na watu wake.tunaamini ustawi Wa taifa letu Ni hali Na usawa.ubaguzi kwa misingi ya vyama hapana, sisi wote Ni watanzania.
 
Wao ruksa,

wengine NO, NO, NO, NO, NO, NO ni kwenye majimbo yao tu.

Kwenye majimbo mengine INTELIJINSIA inaonesha kutakuwa na UVUNJIFU wa AMANI.
Kwangu ningekuwa waziri Wa mambo ya ndani ningepiga marufuku maocd kujiingiza kwenye siasa.polis wajadiliane Na wanasiasa pale panapokuwa Na utata sio kuzuia.
 
LIMBOMAMBOMA, unachanaganya sana mambo kiasi kwamba ni ngumu kukuelewa, naona hasira zako na kwa sababu una hasira uwezo wako wa kufikiri vizuri utakuwa umeathirika- wewe si wewe- rudi uwe wewe
Mambo gani nachanganya? Polepole yuko Pemba Ni mbunge Wa huko? Natamani wote wawe huru hata rungwe.
 
Ningelikuwa waziri Wa mambo ya ndani ningekomesha ujinga huu Wa jeshi LA polis.polis walinde usalama Wa RAIA Na Mali zao, siasa sio kazi yao wawaachie wanasiasa.

Uwaziri wa Mambo ya ndani kama umejiteua wewe utapiga marufuku polisi na kibaki na uwaziri wako,

kama nimekuteua Mimi, mshahara nakulipa Mimi, gari nimekupa Mimi halafu uzuie polisi wangu kuzuia siasa za upinzani kuenea nchi nzima, hiiiiiiiiiiiniyo!?!!!!👈✍️💪💀💀💀
 
Haahaaa
 
Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
M.M Mwanakijiji nilikuwa nikisoma makala zako gazetini zimejaa tafakuri nzito, zilikuwa ni makala zenye kuonesha njia ila hakuna marefu yasiyo na ncha, zama zako zimekwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo tangu alipo takiwa kuonyesha vyeti kwa Dr Bashiru pale lumumba basi siku hizi kaamua kujitoa ufahamu
M.M Mwanakijiji nilikuwa nikisoma makala zako gazetini zimejaa tafakuri nzito, zilikuwa ni makala zenye kuonesha njia ila hakuna marefu yasiyo na ncha, zama zako zimekwisha

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Huyu binti ni jembe kweli kweli, ni mwanamke wa shoka, tena mimi najisikia very proud kum spot toka kitambo!, angalia tarehe ya bandiko hili

P
Walisema kuzikwa na watu wengi sio kwenda peponi kumuombea duwa ili ikifika time ya mkikimiki wasimtose kwenye usiri wa sanduku la kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom