Dawa ya Uvccm
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 2,223
- 4,717
kwa kuwa wewe na ujinga wako huwa unashangaa watu ndio kila mtu unagikir hushangaa watu? makuwadi ya warabu mwambien mama yenu arudishe pesa za watu tofaut na hapo ajiandae.Wanajaa kumshangaa hana lolote
mnajipa matumain ambayo hamna subirin 2025 huyo mama yenu aibe uchaguz kama hamjamzungusha juani akiwa haongei huku akinuka uozo. Narudia tena na mnielewe nyie makuwadi ya warabu dpworld kwamba huyo mamayenu akiiba uchaguz lazima afe mtake msitake.Mnaangalia ujazo wa hadhara. Uchaguzi mipango ndiposa mtaanza kulia lia oooh tumeibiwa.
Mbona hasira. Tulia utashuhudia muda ukifikamnajipa matumain ambayo hamna subirin 2025 huyo mama yenu aibe uchaguz kama hamjamzungusha juani akiwa haongei huku akinuka uozo. Narudia tena na mnielewe nyie makuwadi ya warabu dpworld kwamba huyo mamayenu akiiba uchaguz lazima afe mtake msitake.
Wewe na makuwadi wenzio ya warabu mmegeuzwa ngaz na akina chongolo,jerry slaa na kitila mkumbo huku wao wakiteuliwa uwaziri na kula ruzuku za wabunge fake ila wewe na nguruwe wenzio mnaofugwa huko ccm mmebaki kubwabwa jf kama chizi limeona jalala jipya.Ila Mungu ni fundi ameumba wajinga wengi hapa Duniani Ili kuwezesha wachache watawale,wengi wao hapo ni maskini wa kutupwa na wanaamini eti kina Lisu na Chadema or any political party ndio itawaletea ugali mezani ๐๐
Mwisho wakawaulize jirani zao hustlers hapo Kenya kama Ruto amewaletea Neema.
Mda wa kupoteza Kwa Wanasiasa ambao wanatafuta Kuendesha maisha Yao Kwa kutumia siasa ila wanakufanya wewe mjinga kuwa ngazi Yao Sina.
Niwe na hasira na makuwadi ya warabu dpworld, nasema mtanyooka tu huku kanda ya ziwa mamayenu hapati kitu mwambien ajiandae kukimbilia kwa mabwana zake Dubai.Mbona hasira. Tulia utashuhudia muda ukifika
Utaharibu siku yako bure, ujumbe ndio huo CCM ushindi daimaNiwe na hasira na makuwadi ya warabu dpworld, nasema mtanyooka tu huku kanda ya ziwa mamayenu hapati kitu mwambien ajiandae kukimbilia kwa mabwana zake Dubai.
Polisi wamechoka kuwabebaUtaharibu siku yako bure, ujumbe ndio huo CCM ushindi daima
Ni kawaida sana kwa Masikini kuwaza kula tuIla Mungu ni fundi ameumba wajinga wengi hapa Duniani Ili kuwezesha wachache watawale,wengi wao hapo ni maskini wa kutupwa na wanaamini eti kina Lisu na Chadema or any political party ndio itawaletea ugali mezani ๐๐
Mwisho wakawaulize jirani zao hustlers hapo Kenya kama Ruto amewaletea Neema.
Mda wa kupoteza Kwa Wanasiasa ambao wanatafuta Kuendesha maisha Yao Kwa kutumia siasa ila wanakufanya wewe mjinga kuwa ngazi Yao Sina.
Maskini ni hao mliowakusanya hapo wako hopeless.Dunia hii usipokula na kunywa Haina maana na ndio msingi wa hizo kelele zenu mnawawalubuni hao maskiniNi kawaida sana kwa Masikini kuwaza kula tu
Endelea kutukana wenye nchiMaskini ni hao mliowakusanya hapo wako hopeless.Dunia hii usipokula na kunywa Haina maana na ndio msingi wa hizo kelele zenu mnawawalubuni hao maskini
AmenLong live Tundu Lisu๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐พ
Hata wazuie vitu vya mafuta Musoma visiuzi mafuta lkn hapa musoma mjini tayari tupo na ni nyomi hakuna kurudi nyuma!Hakuna namna nzuri ninayoweza kueleza mapokezi ya Tundu Lissu Mjini Bunda , itoshe tu kusema haya ni mapokezi ya kifalme , watu ni wengi kuliko maneno yangu .
Hakika kwa Chadema ni dhahiri sasa kwamba gari limewaka ! Si rahisi tena kuzuia Chadema kwa hali ilivyo , Uchawi na Fitna zote vimechemsha .
Kingine ni hiki , Habari za Mkataba mbovu wa Bandari zimewakasirisha mno wakazi wa Bunda , ambao Wamesisitiza ulazima wa Katiba mpya sasa hivi
Hali ndio kama mnavyoona
View attachment 2736813
View attachment 2736814View attachment 2736815
Mkuu 'lebabu', ukitaka kunipeleka huko, nitaandika kitabu kizima.Ili tuendelee tunahitaji ardhi, watu(wenye akili nzuri), siasa safi na uongozi Bora.
Ardhi (tunayo kubwa, ila tunaanza kugawa kwa kukosa/kupuungua hivi vitatu vingine).
Watu (tunao wenye akili nzuri wachache).
Siasa safi (hapo, siasa yahitaji uboreshaji).
Uongozi bora (ni changamoto kwa sababu ya ukosefu wa siasa safi).
Tunatakiwa kuboresha siasa (kwa kutumia watu wachache wenye akili nzuri), tutapata uongozi bora ambao utaweka mikakati ya kuboresha na kuongeza idadi ya watu wenye akili nzuri.
EEEeeehHeeeee!Kwahio CHADEMA waanze kuwalipa mishahara ama?
Pamoja na lawama zote kumwendea Rais, kwa nini tuwe na fikra za kutegemea akili ya mtu mmoja?Mkuu 'lebabu', ukitaka kunipeleka huko, nitaandika kitabu kizima.
Hii nchi tusipokuwa waangalifu, tukaendelea kuwepo na uongozi kama huu tulionao chini ya Samia anayeamini kila kitu tutegemee watu toka nje waje hapa kututia akili vichwani, hatutaenda popote.
Huyu mama ametia sumu zaidi ya kiongozi yeyote tuliyewahi kuwa nayo, kwa uamini kwamba tunaweza kufanya mambo mengi sana ya kujiendeleza wenyewe.
Hii haina maana hatutavutia uwekezaji; lakini daima lengo la uongozi ni kujenga uwezo wa ndani ya nchi na kuwajengea uwezo wananchi kuleta maendeleo yao wenyewe.
Magufuli ni mfano mzuri wa hivi karibuni, wa kiongozi mwenye "uthubutu" wa kuamini uwezo wetu. Angetulizana vizuri na kuacha yale matakataka yake mengine, nchi hii ingebadilika haraka sana.
Huyu Samia, ni kinyume kabisa na kila kitu walichojaribu kufanya watangulizi wake wote.
Huyu ni mwangamizi wa taifa.
monde arabe, ondoa huo wasiwasi,ondoa mashaka. Ubaya wa juzi au jana, ulishapita. Ya kesho ni mapya..Safi sana Mkuu lkn,wasiwasi wangu ni kwamba ccm hawategemei kura zetu sisi wananchi.Tegemeo la ccm ni mahakama,jeshi la polisi na tume ya Taifa ya uchaguzi.
Umegusa patamu sana hapo.Pamoja na lawama zote kumwendea Rais, kwa nini tuwe na fikra za kutegemea akili ya mtu mmoja?
Cha ajabu kabisa, viongozi karibia wote ni wale wale waliokuwa na Magufuli. Tunaelekea wapi kama taifa?
Sawa sawa mkuu.EEEeeehHeeeee!
Mkuu 'Extrovert', naona leo nimekuchokoza, na kugusa eneo la ubongo wako, ambalo hukuzuia kuacha 'comment' yoyote kwenye mengi ambayo huyaandika humu, na ambayo eneo jingine la ubongo huo huo hushindwa kujizuia kuacha 'like'.
Kuhusu hilo swali ulilouliza, ngoja pia nikujibu kwa swali jingine: Hivi ni CCM ndio huwalipa hao watu mishahara?
Najua utasema ni serikali ya CCM. Sasa itakuwa vipi Serikali ya CHADEMA ishindwe kuwalipa mishahara?
Lakini, isiwe rahisi kihivyo, hali ni 'complicated' kidogo ya hapo.
Hawa wote polisi, mahakama, Tume ya uchaguzi; hawa wote ni waTanzania na ninaamini hata wao wanaipenda nchi yao, licha ya kupenda maslahi wanayopewa na serikali na CCM yenyewe.
Kinachotakiwa hapa, ni CHADEMA kuonyesha kwamba maslahi ya nchi na HAKI katika jamii ni muhimu sana kwa kila mmoja wetu. Yanayofanywa na CCM wakati huu siyo mambo ambayo hata hawa yanawapendeza.
Ni kazi ya CHADEMA kutafuta njia za kuwatuliza hawa, na hata wale vichwa ngumu walioko huko kuwashughulikia ipasavyo. Baada ya hapo, WATAACHIA TU wenyewe.