Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

Kwa haya yanayotokea halafu kikundi cha watu wanataka kuandamana kupinga aina ya maovu yanayotoka hapa nchini, wanatokea watu tu tena kwa ujasiri wanasema "hawa wanaoandamana wanataka kutuharibia nchi".
Nashindwa kuelewa wanataka tuendelee kunyamazia maovu haya au ni vipi. Nchi ina viongozi wa ajabu tena wengine wanajiita wazalendo kabisa dah.
 
Ongeza na chacha wangwe
 
Rest In Peace Samson Josiah sijui mabasi ya Super Sami mambo yatakuwaje?
Kuwa kwa sasa yameegeshwa pale Nyegezi kona..

Hakupatikana mwendelezaji kabisa?
 
Ukishaina polisi wanatoa maelezo mareeefu bila kukamata watuhumiwa ujue hiyo ni project ya siri kali
 
So sad..kwa dhambi hizi hata mimi lazimaa niombee niletewe kadinali.... askofu tu hatoshi kusamehewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…