Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

Sioni sababu ya kuigizwa magufuri na mauaji haya mbona kumtesa mtu ni kitu kidogo sana ona wakina rugemalila na karasinga refer wakina babu saya na yule billione mdogo wa kule arusha alopigwa lisasi kipindi cha jk aliuwawa na jpm unajua unamjua vzr marehem anaingiaje kwenye siasa wew upo kimbiji huko umejuaje mambo ya hukoo nyie ndo mnatupandikiza imani mbaya tena wew naomba ukamatwe uhojiwe wote tuna hali ngumu lakin hasira zako usiziamishie kwenye msiba ya watu kila mmoja anacycle yake ya maisha unajua siri za matajir wew
Najua unatetea maslahi yako ya tumbo lako lakini Mhutu na Bashite watakuja kuyajibu haya mauaji ICC= International Criminal Court.
 
Alienda kudai deni,alienda kumdai nani ?
aliondoka na ndugu zake,ndugu kivipi na wenye mahusiano gani ?
atarudi na mgeni,mgeni gani ?
alikuwa anadai nini ?
R.I.P

It was a set up, kama vile walivyo mfanyia Roma. Mhutu na Bashite wanahusika.
 
Hii inasikitisha sana kwa unyama uliofanywa kwa huyu ndgu na mtanzania mwenzetu ila pia ntashangaa sana kama hili tukio kuna watu watalitumia agenda yao ya kisiasa kwa hili watakuwa wamerwong step mbaya sana
Bashite na Mhutu watakuwa wanahusika.
 
Na hili nalo mnataka waziri wa mambo ya ndani alijibu acheni fikra za kipumbavu hili swala lipo chini ya police na mamlaka ya upelelezi ya makosa ya jinai na siyo waziri

Mwigulu Nchemba alishafanya hukumu kuhusu kutekwa kwa Abdul Nondo, kabla hata police hawajafanya upelelezi na sasa hivi unamtetea kwamba hawezi kuwaingilia polisi. Hii nchi ni kama kichwa cha Mwendawazimu. You can only speak for yourself, please do not defend this Murderers.
 
Inasikitisha sana kuona watu wanaleta siasa hata kwenye mambo yasiyohitaji siasa.
 
Tanzania si nchi salama tena
Amani iliyopo Tanzania ni amani ya maneno sio amani ya vitendo. Amani aliyotuachia Baba wa Taifa Rip Mwalimu Nyerere imesha kufa zamani tangu Tanzania kuanzishwa Mfumo wa vyama vyingi nchi yetu kumekuwa hakuna tena amani. Bora uishi na Wanyama Porini utakuwa mtu mwenye amani kuliko kuishi mijini na Binadamu wenzako utaishi kwa wasiwasi mwingi vifo vimekuwa ni vingi hata huko kwenye Ugomvi wa Palestina na Waisrail hakuna vifo kama vifo vinavyotekea hivi sasa mijini nchini Tanzania. Mungu atusaidie na kuto okoa na jangaa kubwa hilo la vifo vya ajabu ajabu vinavyozidi kutokea siku hata siku amin.
 
Amani iliyopo Tanzania ni amani ya maneno sio amani ya vitendo. Amani aliyotuachia Baba waTaifa Rip Mwalim Nyerere imesha kufa zamani tangu Tanzania kuanzishwa Mfumo wa vyama vyingi nchi yetu kumekuwa hakuna tena amani. Bora uishi na Wanyama Porini utakuwa mtu mwenye amani kuliko kuishi mijini na Binadamu wenzako utaishi kwa wasiwasi mwingi vifo vimekuwa ni vingi hata huko kwenye Ugomvi wa Palestina na Waisrail hakuna vifo kama vifo vinavyotekea hivi sasa mijini nchini Tanzania. Mungu atusaidie na kutokoa na jangaa kubwa hilo la vifo vya ajabu ajabu vinavyozidi kutokea siku hata siku amin.
Amen
 
Mungu anazidi kuumbua mipango ya waovu na ile ya Jeshi la Polisi. Juzi wame tofautiana kauli. Leo hii nani atakua na imani na upelelezi utakaofanywa na jeshi la Polisi?

Kafanye uchunguzi badala yao
 
Back
Top Bottom