thatonegAl
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 825
- 1,884
Kisasi gani,mambo yko wazi tusimeze maneno wasiojulikana wanafanya mambo kwa baraka za mkuu,huo mto kwa upande wa serengeti unamamba wengi sana ukipita utafikiria mijusi imejianika juani.
Wamechoma gari serengeti halafu wakaja kumtupia upande wa mto kilawira ambapo hakuna mamba angeuawa serengeti maiti isingefika hpo ilipookotwa mamba wangeshafanya yao
Ulivyoandika kama wewe ndiye huyo Mkuu ulotoa Baraka au ni miongoni mwa hao wasiojulikana uliyekuwa ukipokea baraka