Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakoelekea Mungu anajua.Aisee nilikuwa na informer mmoja aliniambia walizunguka Serengeti mbugani siku 3 bila kuona mwili wa marehemu,ila sasa tunakoeleka ni hatari sana
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Wahi Burundi nchi ya kwanza kwa kukosa furaha duniani
Ngoja tujuane tuko wangapi [emoji871]️[emoji871]️[emoji871]️Kama unaenda zimbabwe nisubiri ndo namalizia kupanga nguo hapa
Roma na Moni (wanabahati)1. Dr. Mvungi(RIP)
2. Alfonce Mawazo(RIP)
3. Ben Saanane (hapa sijui)
4. Kibiti
5. Tundu Lissu (major one)
6. Roma (una bahati)
7. Diwani Hananasif (RIP)
8. Diwani Morogoro (RIP)
9. Azron (hapa sijui)
10.Nondo (una bahati)
bado tuko salama? achilia hao ambao hatuji hakuna anaejua ilikuwa je? Eeee Mungu tusaidie
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tusubiri taarifa za uchunguzi, isijekuwa nae kajiua na kujiweka kwenyekiroba. maana bado hatujasahau ripoti ya uchunguzi ya mr Nondo.
Hivi huyu jamaa si ndio walikuwa wanamsema ni "muimbisha watu mtaji wa maskini ni nguvu zako mwenyewe"...!!!humu jf katajwa sana yeye na mali zake,tena kwa sifa uchwara na zisizo uchwara.pia katajwa kama kada mtiifu wa rangi za taa zinazoruhusu magari kupita.....wengine wakasema ndio maana anaimbisha watu hovyo coz analindwa na "RANGI MURUA" ya mikunde......!!!?mpaka muda huu nina namba tisa ila kumi siioni...
Haya ni mambo ya kibiashara, kuna mtu alikuwa anadaiwa hapo, nahisi anahusika..,Labda anataka aunganishe doti,mauaji ya Diwani wa CDM Kule Moro, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI kule Kasulu na hili LA huyu tajiri ili ahitimishe kuwa mauaji ya sasa yamewalenga wapinzani.
Tungoje atakuja kuyajibu maswali yako yeye mwenyewe.
Mwili wa mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah unaodaiwa kukutwa mtoni ukiwa umefungwa kwenye mfuko.
Mwili wa Mmiliki wa mabasi ya Super Sami Samson Josiah umekutwa katika mto Ndabaka eneo la Bunda /Lamadi
Taarifa kutoka vyanzo vya habari zinasema kwamba mwili wa Samson Josiah umeokotwa na wavuvi wa samaki leo jioni Jumatano Machi 14,2018.
Watu wa karibu na marehemu wanasema mwili uliookotwa ni wa Samson Josiah.
Miongoni mwa habari zilizoteka vyombo vya habari Tanzania tangu Machi 9, 2018 hadi ni kuhusu kupotea kwa mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Soma => TANZIA: Mmiliki wa mabasi ya Super Sami akutwa amekufa na gari lake kuchomwa moto Serengeti
Mapema ilielezwa kuwa gari yake ndogo aliyokuwa akiitumia aina ya Toyota LandCruiser ilikutwa imechomwa moto katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti iliyoko mkoani Mara siku ya Machi 9, lakini yeye mwenyewe alikuwa hajapatikana.
Kwa mujibu wa familia ya Bwana Josiah, ambayo inaishi mkoani Mwanza, ilidai kuwa siku ya kupotea kwa Josiah ambayo ni February 27, majira ya usiku, Josiah alimpigia simu mkewe na kumwambia kuwa atarudi nyumbani na mgeni, na hayo yakawa mawasiliano yao ya mwisho.
Mabasi ya Super Sami yanafanya safari zake kuanzia mkoa wa Mwanza, kwenda mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Iringa pamoja na Kagera.
Chanzo: Muafrika Halisi blog
=====
Jeshi la Polisi mkoa wa Kipolisi Mara, limetoa taarifa rasmi juu ya kuokotwa kwa mwili wa mfanya biashara na mmiliki wa mabasi ya Super Sami Samson Josiah , ambaye alitoweka na mwili wake kuokotwa mtoni hapo jana.
Akizungumza na mwandishi wa www.eatv.tv, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara Jafari Mohamedi, amesema hapo jana walipata taarifa kutoka kwa wananchi kuhusu kuokotwa kwa kiroba chenye mwili ndani, na walipokifungua na kuita watu kutambua, ndipo alipojulikana kuwa ni mwili wa mfanya biashara huyo anayeishi mkoani Mwanza.
“Jana jioni tumeweza kupata mwili wa marehemu huyu Samson Josiah ambaye ni mmiliki wa mabasi ya Super Sammy anayeishi Mwanza, kwamba kuna mwili umeonekana katika mto ambao unatenganisha mkoa wa Mara na mkoa wa Simiyu unaoelekea mbugani Serengeti, wananchi waliona kiroba kimefungwa kinaelea, kikavutwa wakajulishwa polisi kufungua ndani wakakuta mwili wa marehemu, kwa sababu tulikuwa na taarifa za utafutaji na mashaka juu ya kutoweka kwake, tukajulisha ndugu hao na wakatambua mwili wa marehemu”, amesema Kamanda Mohamedi.
Kamanda Mohamedi aliendelea kwa kueleza kwamba marehemu alitoweka kuanzia tarehe 27 mwezi wa pili ambapo aliondoka mkoani mwanza, na ndugu zake walisema kuwa aliaga anaenda Simiyu kwa shughuli zake za kibiashara na kuna mtu anamdai na akapotea tangu siku hiyo, na gari yake aliyotoka nayo Mwanza kukutwa imechomwa mtoto maeneo ya Serengeti mnamo tarehe 8 hadi kuteketea kabisa.
Imeelezwa kwamba kwa sasa mwili huo umehifadhiwa hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara kwa ajili ya postmoterm, na baadaye utatolewa kwenda kuzikwa, na mpaka sasa watu wanne wameshikiliwa kufuatia tukio hilo, upelelezi bado unaendelea
Jamaa aliwanyima ccm mabasi ya kupeleka watu kwenye mkutana na hilo nalo tulione
Swissme
Huo mwili baada ya wiki mbili wameutambua? Na mbona staili ni zile zile za watu walio kua wanafugwa kweny visandarus kweny Bahar ya hindi? Na huo MTO ndibaga usikute tuna share na mataifa mbalimbali ..ukute sio mwil Samson ni wa watu wa mataifa mengne kama ilivyokua bahari ya Hindi
Amen hawa ni watu wasiojulikana ambao wanaongozwa na Mhutu pamoja na Bashite.Lini umesikia tamko la mkuu kuhusu maiti za viroba au mauaji yeyote akikemea toka ameingia madarakani,hawezi kuepuka hizi tuhuma watu wake ndio wahusika wakuu
Usalama Wa Raia umekuwa changamoto viongozi wa Juu haswa Minister Mwigilu ni wakati wako sasa ujitathimini na Uone kama una fit kuwa hapo
Kwa hiyo ni kosa lake si la Mhutu na Bashite ambao wamekuwa wakishutumiwa kwa mauaji mengi Tanzania. Na jinsi mhutu alivyo mbabe angekuwa mbogo lakini kwa sababu anahusika na yeye ni msema kweli hawezi kusema chochote.Ndio maana maandiko yanasisitiza kuwa, 'tutafute kwa bidii kuwa na amani na watu wote'... Angefanya hivyo, huenda haya yasingemtokea ndugu tajiri...
Wahutu ndiyo wako hivyo wapenzi watanzania. Sisi mungu ametujalia utu ndiyo maana mioyo yetu ina majonzi sana. Lakini Mungu wa haki anawaona.Ccta mie naogopa sana lifestyle iliyopo sasa Tanzania. Hebu angalia ujasiri walionao hao wauaji!! Najiuliza je inamaana tangu wazaliwe hawajawahia kufundishwa uwepo wa mungu!? Nimechoka kabisa heri kufa kwa Ukimwi lkn si kwa style hii. Nchi imelaaniwa