Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

Vijana wa Tanzania tutaingizwa mkenge na michezo ya wanasiasa kutuhumu kila kitu chanzo chake ni siasa na tutajenga chuki miongoni mwetu ikiwa hatufaidiki chochote na mautamu ya siasa "bavicha na uvccm watch out"
 
Achana na siasa kwenye kila jambo mtoto. Mtu kafa we unaulizia alikuwa chama gani. Unataka ukampe kadi ya chama chako au?
Inasaidia kujua misimamo yake na vitu alivyofanya kabla eg michango nk ili tujue kipi kimesababisha kifo chake, werevu hatuishii tu kusema RIP tunataka tufahamu current CV yake
 
Duh, rip na pole nyingi kwa Wafiwa.

Alikuwa anajihusisha na siasa ama?
 
Kwa yeyote anaejua chanzo cha mmiliki wa Mabas ya Super Sami tunaomba mdokezo,Inasikitisha sana kifo cha njii hii
 
Sijui walimweka humo akiwa bado anapumua Mungu wangu? Ameuawa kikatiri sana. Mungu amlaze pema.
 
mtanzania-12.gif
 
Malengo yake ni kuwatisha na kuwatia hofu wananchi ili wafuate amri za hovyo
 
Back
Top Bottom