Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

Watawala watasema huo mwili ni wa mhamiaji haramu umetoka nje ya nchi
Wakati mwingine tuwe tunatumia busara tunapo-post mawazo yetu huku. Naamini hii Forum wengi ni wasomi wa kutosha na anlytical. Umeambiwa kuwa aliaga kwa ndugu zake kuwa anaenda kufuatilia deni lake. Kwa nini usianze kuuliza kama alimtajajina aliyekuwa anamdai au kwa nini usijiulize kama na yeye alikuwa anadaiwa mpaka turukie mambo mengine ya ajabu? Kwa nini usijiulize hao waliokamatwa wanahusikaje au kwa nini wao na si wengine? RIP Sam
 
Mwigulu ndio ana jibu la uhakika maana alisema wale was Ruvu walikuwa wajamiaji haramu.
Sasa atueleze kwa nini walitumia viroba kama vya viazi?
 
Kama unalijua ndugu tuambie na kama hulijui, acha kubashiri.
Siwezi kubashiri wewe angalia mwanzo wa hili sakata mpaka sasa, kutoka kuchomwa moto gari lake tena ndani ya Hifadhi ya taifa mpaka mwili kuonekana mtoni. Kuna picha mbili tofauti. Kwanza ; Gari linachomwa moto ndani ya hifadhi ya taifa. Pili; Mwili kuokotwa mtoni. Najaribu kufikiria kwa sauti tu lakini.
 
Wakati mwingine tuwe tunatumia busara tunapo-post mawazo yetu huku. Naamini hii Forum wengi ni wasomi wa kutosha na anlytical. Umeambiwa kuwa aliaga kwa ndugu zake kuwa anaenda kufuatilia deni lake. Kwa nini usianze kuuliza kama alimtajajina aliyekuwa anamdai au kwa nini usijiulize kama na yeye alikuwa anadaiwa mpaka turukie mambo mengine ya ajabu? Kwa nini usijiulize hao waliokamatwa wanahusikaje au kwa nini wao na si wengine? RIP Sam
Cha muhimu ni kuelewa kwamba jf ni kokoro linalobeba kila kilichopo kwenye jamii hivyo kuna mawazo ya aina zote. Busara yako itaamua lipi uchukue na lipi uliache.
 
Siwezi kubashiri wewe angalia mwanzo wa hili sakata mpaka sasa, kutoka kuchomwa moto gari lake tena ndani ya Hifadhi ya taifa mpaka mwili kuonekana mtoni. Kuna picha mbili tofauti. Kwanza ; Gari linachomwa moto ndani ya hifadhi ya taifa. Pili; Mwili kuokotwa mtoni. Najaribu kufikiria kwa sauti tu lakini.
Aisee nilikuwa na informer mmoja aliniambia walizunguka Serengeti mbugani siku 3 bila kuona mwili wa marehemu,ila sasa tunakoeleka ni hatari sana
 
Roho zetu ziko mikononi wallah,lakini hawa matijiri mingo zao wanazijuaga wenyewe.
 
Huwezi kuona majibu yanayotolewa kuwa ya maana kwa kuwa tayari umesha chagua upande hali kadhalika na majibu yako binafsi kabla ya majibu halisi.
Naomba kujua hayo majibu halisi kuhusu walikopotelea Ben Saanane na Azori Gwanda au waliomchakaza risasi Tundu Lissu. hapo hatujaongelea matukio mengine yaliyopotezewa kwa kuibua viroja juu yake kama kawaida ya watanzania. Hata waliomteka Ulimboka, Roma etc hatujawahi kuambiwa ni akina nani. Wewe ambaye hauna upande wala majibu, tusaidie majibu yaliyotolewa kuhusu hizo crimes ndipo nitaamini kuwa hata uchunguzi wa kifo cha mmiliki wa Super Sami utakuwa na maana.

Uache kuweka mahaba niue katika mambo ya msingi yanayohusu usalama na uhai wa watanzania wenzako.
 
Sioni sababu ya kuigizwa magufuri na mauaji haya mbona kumtesa mtu ni kitu kidogo sana ona wakina rugemalila na karasinga refer wakina babu saya na yule billione mdogo wa kule arusha alopigwa lisasi kipindi cha jk aliuwawa na jpm unajua unamjua vzr marehem anaingiaje kwenye siasa wew upo kimbiji huko umejuaje mambo ya hukoo nyie ndo mnatupandikiza imani mbaya tena wew naomba ukamatwe uhojiwe wote tuna hali ngumu lakin hasira zako usiziamishie kwenye msiba ya watu kila mmoja anacycle yake ya maisha unajua siri za matajir wew
Kuna wengine yamewakuta hata si matajiri.
Ningesema better wait uchunguzi utatupatia majibu, but I can't, maana so far sijashuhudia jambo walilochunguza wakatoa majibu. Labda waanze sasa.
 
Back
Top Bottom