Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kila kitu kinaendeshwa kwa maagizo kutoka juu, mawaziri wa awamu ya tano ni kama ma messenger tu.Ningelikuwa mimi ndio Waziri wamambo ya ndani ningejiuzulu kwani hivi sasa hali imezidi kuw ambaya lawama zote nije kuzipata mimi eti kwa sababu ya cheo changu cha U-Waziri wa mambo ya ndani? nitakwenda kusema nini kwa Mungu?