Sikujua kama wachagga wapumbavu hiviAtakuwa alijiua alafu akajiingiza katika mfuko wasandarusi "Mambosasa's voice"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikujua kama wachagga wapumbavu hiviAtakuwa alijiua alafu akajiingiza katika mfuko wasandarusi "Mambosasa's voice"
Du jamani tukimbilie wapi? Hii Tanzania ya v-wonder sasa imegeuka nchi ya mauti. Ni lini udhalimu huu utakomeshwa katika nchi hii ya kusadikika?Mwili wa mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah unaodaiwa kukutwa mtoni ukiwa umefungwa kwenye mfuko.
Mwili wa Mmiliki wa mabasi ya Super Sami Samson Josiah umekutwa katika mto Ndabaka eneo la Bunda /Lamadi
Taarifa kutoka vyanzo vya habari zinasema kwamba mwili wa Samson Josiah umeokotwa na wavuvi wa samaki leo jioni Jumatano Machi 14,2018.
Watu wa karibu na marehemu wanasema mwili uliookotwa ni wa Samson Josiah.
Miongoni mwa habari zilizoteka vyombo vya habari Tanzania tangu Machi 9, 2018 hadi ni kuhusu kupotea kwa mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Soma => TANZIA: Mmiliki wa mabasi ya Super Sami akutwa amekufa na gari lake kuchomwa moto Serengeti
Mapema ilielezwa kuwa gari yake ndogo aliyokuwa akiitumia aina ya Toyota LandCruiser ilikutwa imechomwa moto katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti iliyoko mkoani Mara siku ya Machi 9, lakini yeye mwenyewe alikuwa hajapatikana.
Kwa mujibu wa familia ya Bwana Josiah, ambayo inaishi mkoani Mwanza, ilidai kuwa siku ya kupotea kwa Josiah ambayo ni February 27, majira ya usiku, Josiah alimpigia simu mkewe na kumwambia kuwa atarudi nyumbani na mgeni, na hayo yakawa mawasiliano yao ya mwisho.
Mabasi ya Super Sami yanafanya safari zake kuanzia mkoa wa Mwanza, kwenda mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Iringa pamoja na Kagera.
Chanzo: Muafrika Halisi blog
Mpuuzi, tena ju.ha mkubwa! Mwigulu alipowatangazia umma wa watanzania kwamba Nondo amejiteka kabla upelelezi haujakamilika, yeye hakuharibu upelelezi? A notorious TWIT at work!Fanya busara kidogo kwa kuigiza kama nawewe ni mtu timamu.
Unaharibu upepelezi kwa kuingiza siasa. Au wewe ndio muhusika hapa unafanya hivi kuwapotosha wapelelezi?
Achana nalo hilo bwabwa linakuumiza kichwa bure. Mwigulu kaharibu upelelezi wa Nondo na poliCCM bado wanamshikilia Nondo kinyume cha sheria halafu hili senge linakuja kutuambia upumbavu wake hapa.....Acha porojo wewee, eti unaharibu upelelezi haya mambo yameanza leo?
Na pesa wanayolipwaga kufanya huo umafia ni 400k hela nyingi sana kwaoCcta mie naogopa sana lifestyle iliyopo sasa Tanzania. Hebu angalia ujasiri walionao hao wauaji!! Najiuliza je inamaana tangu wazaliwe hawajawahia kufundishwa uwepo wa mungu!? Nimechoka kabisa heri kufa kwa Ukimwi lkn si kwa style hii. Nchi imelaaniwa
Ni ujinga kufikiria mabasi yake badala ya kuwazia waliofanya ufedhuri huiRest In Peace Samson Josiah sijui mabasi ya Super Sami mambo yatakuwaje?
Hizo habari za kuchinjwa sijaziona kwenye original post. Is it fo real alichinjwa?Maskini,naimagine jinsi alivyoteseka kuchinjwa bila nganzi,Binadamu ni zaidi ya mnyama.Babu yangu aliniambia zamani ukiona Binadamu unapata moyo,siku hizi ni bora ukutane na Simba kuliko Binadamu mwenzako.
Yesu mwenyewe alishakufa kitambo sana hana msaada wowote ule.Kwa hali ya Tz kwa sasa, Heri ukutane na simba porini anaweza kukuacha salama kuliko kukutana na binadamu porini au maeneo tata.
Trust nobody except Jesus Christ only.
Mungu akuweke unapostahiri Samson Josiah.
Amen.
USALAMA WA WANANCHI NI MDOGO SANA.SIJUI TATIZO IPO WAPI.KUNA KITENGO IPO KAZINI NDYO HYO ILIYOMZURU LISUNafikiri waliomuua wataishi milele. Tunakoelea huku kuna watu wataanza kuweweseka sana kwa haya mambo wanayofanya.
watanzania tupo salama labda ww ndo haupo salamawatanzania hatuko Salama
sawa madamewatanzania tupo salama labda ww ndo haupo salama
umempa jibu zuri sana hao ndo wale wanaofurahia vifo vya watu, mtu kafa basi chama kitakusaidia nn? Pole nyingi naipa familia yake mungu amlaze mahali pema.Achana na siasa kwenye kila jambo mtoto. Mtu kafa we unaulizia alikuwa chama gani. Unataka ukampe kadi ya chama chako au?
we nae haueleweki sasa..inamaana maombi yako hauyaamini au mungu uliemuomba hapo hawezi kukujibu mpaka umeanza na kushtaki kwa JPM aingiie kati? hahaha kuwa na msimamo basi.Kwa jinsi alivyofungwa fungwa inaonekana alitupwa akiwa mzima mzima kama anavyoonekana hapo na kutoswa mtoni.
Eeh Mungu Baba ,Mwenye kila uweza na nguvu, Naomba ukakomeshe haya mauaji yanayofanyika dhidi ya watu mbali mbali, Nakemea pepo LA mauaji lililowaingia wahalifu hao. Naomba Mungu ukawabadilishe Roho za wauaji hawa wakawe na Roho iliyojaa Amani,upendo na unyenyekevu kwa wenzao ili Tanzania irudi katika hali Yake ya kuwa Mahali salama pa kuishi kwa kila RAIA.
Ee Mungu Baba mwenye enzi, naiombea na hii familia ya marehemu iliyoachwa katika taharuki na ukiwa, Ukawape nguvu na ujasiri wa moyo katika kipindi hili walichonacho cha huzuni kuu katika familia yao. Ukaiwezeshe familia hii istahimili msiba huu mzito kwao.
Naomba hayo kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo anayeishi na kutawala daima na milele
Amina.
Raha ya milele umpe ee Bwana
Na mwanga wa milele umwangazie
Apumzike kwa Amani.
Amina.
Hivi ni kweli Polisi wamezidiwa maarifa na hawa wauaji?
Tulipofikia sasa, yamfaa Rais aingilie kati mauaji haya yanayoendelea kwa kufanyia mabadiliko ya kiutawala hii Wizara ili waje wengine wenye mbinu mpya kuwadhibiti hawa wahalifu.
Haya mauaji yanayoendelea sasa mwisho wake ni UPI?