Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

RIP Super Sami!
Sio kwa unyama huo jamani
 
Kukataa kupokea Mali kutoka kwa kiongozi ili litumike jina la kampuni yako ni ishu kidogo hasa ukizingatia ni malimbukeni wa madaraka!
 
Inasikitisha sana Mungu akupumzishe kwa amani
 
Mungu tunusuru. Viroba mto Wami, viroba Coco Beach na sasa kiroba kanda ya ziwa! Why? Why? Why?
 
Ishi maisha ya kati tu itapendeza sana nchi kama hii si ya kujionesha kuwa ww ni money holder
 
Back
Top Bottom