kama mkuu wa shule aliyepo ataendelea kuwa mkuu wa shule inawezekana kukakosekana hata division two kwani yeye hana muda na kushughulikia taaluma ila mambo yake ya kuchukua pesa za shule na kufanyia mambo yake binafisi. nawaomba wadau wa elimu katika jamii forum wanaotokea bunda ni hali ya hatari nilipita tu kuangalia maendeleo ya shule yangu ya zamani hali ni mbaya ya kutisha. kwa mwaka huu matokeo ya form four wamekuwa wa mwisha katika shule za wilaya ya bunda, kimkoa imekuwa shule ya i58 kati ya shule 162 na kitaifa imekuwa shule ya 3099.