Bunda sekondari kitaaluma inaelekea shimoni.

Bunda sekondari kitaaluma inaelekea shimoni.

kasahunga

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
215
Reaction score
33
kama mkuu wa shule aliyepo ataendelea kuwa mkuu wa shule inawezekana kukakosekana hata division two kwani yeye hana muda na kushughulikia taaluma ila mambo yake ya kuchukua pesa za shule na kufanyia mambo yake binafisi. nawaomba wadau wa elimu katika jamii forum wanaotokea bunda ni hali ya hatari nilipita tu kuangalia maendeleo ya shule yangu ya zamani hali ni mbaya ya kutisha. kwa mwaka huu matokeo ya form four wamekuwa wa mwisha katika shule za wilaya ya bunda, kimkoa imekuwa shule ya i58 kati ya shule 162 na kitaifa imekuwa shule ya 3099.
 
it means ulitaka awashke mkono wanafunzi kwamba somen? na kama ulipita tu imekuaje ukajua yote hayo? acha umbeya ww, utashikishwa ukuta
 
Wanafunzi wa shule ya sekondari Bunda walishashindikana kwa kuvuta bangi. Wakuu wa shule waliopita hapo walishindwa kuwadhibiti watoto hao na pia uongozi wa shule hauna ushirikiano na walimu na wazazi. Katika mazingira kama hayo kisitegemewe kitu kizuri kutoka Bunda sekondari.
 
Kwani kipindi yupo Kiligito na Gosori Kulikuwa hakuna wanafunzi walioshindikana?umesahau enzi za Jamaica wewe?
 
Yaani sio Bunda sekondary tu na NYIENDO secondary mnaiacha wapi? Kwani Afisa Elimu Wilaya anaangalia wapi? Wasira mbunge wa Bunda hafuatilii maendeleo ya jimboni kwake? Kwani wananchi walomchagua ili iweje?
 
Back
Top Bottom