GE2025 Bundi ameweka kiota CCM: Mpasuko, Visasi, Tamaa ya Madaraka na Ufisadi vinaimong'onyoa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Rasmi,
Haya matukio yanayojiri ndani cha CCM ni kiashirio dhahiri kuwa jambo kubwa linaenda kutokea kwa manufaa ya Nchi.

Jakaya aliwahi kusema kuwa makundi ndani ya CCM ni afya. Lakini ukweli unadhihiri kuwa makundi yaliyopo ndani ya CCM yameendelea kuwa kitanzi dhidi ya lichama hilo. Kwa mfano yapo makundi ya CCM Halisi na CCM Maslahi, kuna makundi ya Mtandao na kundi la Sukuma Gang. Na kadhalika.

Kundi la Kizimkazi limekuwa bize kulipiza kisasi dhidi ya Sukuma Gang kwa msaada wa kundi la Mtandao. Mwendo wa mgambo wanaruka na kukanyaganya unatifua vumbi la mtafutano na mtafunano.

Leo tunashuhudia uvunjwaji mkubwa wa Katiba na Sheria za Uchaguzi ambapo CCM imeteua mgombea wa Urais kinyume na Katiba ya Nchi ibara ya 38 inayoelekeza teuzi za wagombea zifanyike baada ya Bunge Kuvunjwa..... Msajili wa vyama vya siasa ambaye amekuwa akionesha uwezo wake mkubwa kuwadhibiti CHADEMA ameufyata kwa ukiukwaji mkubwa dhidi ya CCM.

Mchakato wa kura za uteuzi wa wagombea nafasi za Udiwani na Ubunge ndani ya CCM, umeacha mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

Video inajieleza na kuakisi yanayoendelea maeneo mengi nchini. Inasemwa kuwa hata mwamko wa wananchi kusheherekea kifo cha Ndugai Kongwa ni wanaCCM wasioridhishwa na mchakato wa kura za maoni zilizompa ushindi Ndugai...

Tarehe 12 Agosti 2025, CCM ilifanya harambee kusaka bilion 100. Dunia imeshuhudia kufuru ya wafanyabiashara wengi ambao baadhi ni walalamikiwa kushiriki ufisadi wakiwa ndiyo vinara wa uchangiaji. Namna ambavyo CCM imekionesha kukumbatia mafisadi ambao wanakichangia, ni wazi imejitenga na raia ambao ndiyo msingi mkuu wa madaraka.

Ni dhahiri kwamba, CCM imeshapasuka vipande. Ni suala la muda kufikia tamati yake. Endapo CCM itaondoka madarakani, ndiyo mwanzo wa Tanzania bora na mwisho wa madhila makubwa dhidi ya raia wa nchi hii.

Ni muhimu sana serikali ikaachana na kesi ya Tundu Lisu ambapo kinachoendelea kinyume na Katiba na sheria za nchi. Aibu tunayoipata kama.nchi itatutafuna kwa vizazi vingi vijavyo....
 
Ccm ni conservatives ambao licha ya kwamba chama chao kimefeli kufanikisha yale waliyoahidi, ila Bado wanaamini wanastahili kuendelea kubakia madarakani

Na kinachofanyika Kwa Sasa ni kuunda Sababu zilizojaa utetezi wa kuthibitisha kwamba bado wanapaswa kuaminika licha ya kwamba they got nothing new..
 
Rasmi,
Haya matukio yanayojiri ndani cha CCM ni kiashirio dhahiri kuwa jambo kubwa linaenda kutokea kwa manufaa ya Nchi.

Jakaya aliwahi kusema kuwa makundi ndani ya CCM ni afya. Lakini ukweli unadhihiri kuwa makundi yaliyopo ndani ya CCM yameendelea kuwa kitanzi dhidi ya lichama hilo. Kwa mfano yapo makundi ya CCM Halisi na CCM Maslahi, kuna makundi ya Mtandao na kundi la Sukuma Gang. Na kadhalika.

Kundi la Kizimkazi limekuwa bize kulipiza kisasi dhidi ya Sukuma Gang kwa msaada wa kundi la Mtandao. Mwendo wa mgambo wanaruka na kukanyaganya unatifua vumbi la mtafutano na mtafunano.

Leo tunashuhudia uvunjwaji mkubwa wa Katiba na Sheria za Uchaguzi ambapo CCM imeteua mgombea wa Urais kinyume na Katiba ya Nchi ibara ya 38 inayoelekeza teuzi za wagombea zifanyike baada ya Bunge Kuvunjwa..... Msajili wa vyama vya siasa ambaye amekuwa akionesha uwezo wake mkubwa kuwadhibiti CHADEMA ameufyata kwa ukiukwaji mkubwa dhidi ya CCM.

Mchakato wa kura za uteuzi wa wagombea nafasi za Udiwani na Ubunge ndani ya CCM, umeacha mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

View attachment 3440324
Video inajieleza na kuakisi yanayoendelea maeneo mengi nchini. Inasemwa kuwa hata mwamko wa wananchi kusheherekea kifo cha Ndugai Kongwa ni wanaCCM wasioridhishwa na mchakato wa kura za maoni zilizompa ushindi Ndugai...

Tarehe 12 Agosti 2025, CCM ilifanya harambee kusaka bilion 100. Dunia imeshuhudia kufuru ya wafanyabiashara wengi ambao baadhi ni walalamikiwa kushiriki ufisadi wakiwa ndiyo vinara wa uchangiaji. Namna ambavyo CCM imekionesha kukumbatia mafisadi ambao wanakichangia, ni wazi imejitenga na raia ambao ndiyo msingi mkuu wa madaraka.

Ni dhahiri kwamba, CCM imeshapasuka vipande. Ni suala la muda kufikia tamati yake. Endapo CCM itaondoka madarakani, ndiyo mwanzo wa Tanzania bora na mwisho wa madhila makubwa dhidi ya raia wa nchi hii.

Ni muhimu sana serikali ikaachana na kesi ya Tundu Lisu ambapo kinachoendelea kinyume na Katiba na sheria za nchi. Aibu tunayoipata kama.nchi itatutafuna kwa vizazi vingi vijavyo....
SUKUMA GANG was more meaningful than KIZIMKAZI GANG . Kizimkazi gang inajua bara sio kwao ndio maana wanakula na kufànya uaribifu
 
THE FALL OF CCM 1995-2025.✍️📌
 
Kwa kua ni chama kinachobebwa na dola kitatoka kwenye huo mkwamo na hicho ndicho kiburi chao bila back up ya gavoo mbn kitambo wangekua wamesha paraganyika
 
Ni dhahiri shahiri kuwa chama twawala kimekuwa kama kijiwe cha wahuni.....watu wenye weledi na utimamu wa akili wanalijua hilo na bila shaka wanakereka......lakini tamaa za kimaslahi binafsi na utamu wa mali za wizi vimewafanya kufumba macho ili wasiuone uovu ili waendelee kula!!
 
Kwa sasa mwenye kisu ndiye anayekula nyama! Wazenji kwa ushirikiano na Wanamtandao ndiyo wanaokula mema ya nchi.
Sisi wengine tunabaki ni Watazamaji tu.
Wajeda ndiyo wanaotuangusha! Wangetuletea Traore wa kwetu nchi ingetulia.
Hata hivyo nampongeza Venance kwa kusimamia mchakato wa transtion of power peacefully (wakati wa Dark days)!
Wangeanza kutifuana pale.
 
Rasmi,
Haya matukio yanayojiri ndani cha CCM ni kiashirio dhahiri kuwa jambo kubwa linaenda kutokea kwa manufaa ya Nchi.

Jakaya aliwahi kusema kuwa makundi ndani ya CCM ni afya. Lakini ukweli unadhihiri kuwa makundi yaliyopo ndani ya CCM yameendelea kuwa kitanzi dhidi ya lichama hilo. Kwa mfano yapo makundi ya CCM Halisi na CCM Maslahi, kuna makundi ya Mtandao na kundi la Sukuma Gang. Na kadhalika.

Kundi la Kizimkazi limekuwa bize kulipiza kisasi dhidi ya Sukuma Gang kwa msaada wa kundi la Mtandao. Mwendo wa mgambo wanaruka na kukanyaganya unatifua vumbi la mtafutano na mtafunano.

Leo tunashuhudia uvunjwaji mkubwa wa Katiba na Sheria za Uchaguzi ambapo CCM imeteua mgombea wa Urais kinyume na Katiba ya Nchi ibara ya 38 inayoelekeza teuzi za wagombea zifanyike baada ya Bunge Kuvunjwa..... Msajili wa vyama vya siasa ambaye amekuwa akionesha uwezo wake mkubwa kuwadhibiti CHADEMA ameufyata kwa ukiukwaji mkubwa dhidi ya CCM.

Mchakato wa kura za uteuzi wa wagombea nafasi za Udiwani na Ubunge ndani ya CCM, umeacha mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

View attachment 3440324
Video inajieleza na kuakisi yanayoendelea maeneo mengi nchini. Inasemwa kuwa hata mwamko wa wananchi kusheherekea kifo cha Ndugai Kongwa ni wanaCCM wasioridhishwa na mchakato wa kura za maoni zilizompa ushindi Ndugai...

Tarehe 12 Agosti 2025, CCM ilifanya harambee kusaka bilion 100. Dunia imeshuhudia kufuru ya wafanyabiashara wengi ambao baadhi ni walalamikiwa kushiriki ufisadi wakiwa ndiyo vinara wa uchangiaji. Namna ambavyo CCM imekionesha kukumbatia mafisadi ambao wanakichangia, ni wazi imejitenga na raia ambao ndiyo msingi mkuu wa madaraka.

Ni dhahiri kwamba, CCM imeshapasuka vipande. Ni suala la muda kufikia tamati yake. Endapo CCM itaondoka madarakani, ndiyo mwanzo wa Tanzania bora na mwisho wa madhila makubwa dhidi ya raia wa nchi hii.

Ni muhimu sana serikali ikaachana na kesi ya Tundu Lisu ambapo kinachoendelea kinyume na Katiba na sheria za nchi. Aibu tunayoipata kama.nchi itatutafuna kwa vizazi vingi vijavyo....
Utasubiri sana kuiona CCM inapasuka, tafuta shughuli ya kufanya ikuingizie hela acha ndoto za mchana.

Aliondoka Lowassa mtu mwenye historia kubwa na CCM, mwenye fedha zake na wafuasi wake na CCM ilibakia. Lakini akarudi tena CCM kabla ya kufa kwake
 
Utasubiri sana kuiona CCM inapasuka, tafuta shughuli ya kufanya ikuingizie hela acha ndoto za mchana.......
Hapo kwenye bold....
Natafutaje hela wakati asilimia 80 haipo kwenye mzunguko? Juzi tumeona nani wamezificha hela
 
Fursa za kiuchumi zipo kibao Rais Samia amefungua nchi, ni wewe tu kuamua kuwa positive.

Ukiwa na mtazamo hasi huwezi kuziona na utaishia kufungua threads za makasiriko tu. Na hii ni hatari kwako, waweza kupata sonona au kusukari maana utulivu wa akili haupo na mapigo ya moyo yanakwenda kasi
 
Back
Top Bottom