Bundi atua Msimbazi, msemaji wa Simba ndugu Ezekiel Kamwaga abwaga manyanga

Bundi atua Msimbazi, msemaji wa Simba ndugu Ezekiel Kamwaga abwaga manyanga

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Katika kile kinachoelezwa hali si shwari ndani ya Club ya Simba, inaelezwa Msemaji wa timu hiyo ndugu Ezekiel Kamwaga ameamua kukaa pembeni kuendelea na majukumu yake ndani ya club hiyo.

Tukio hili linatokea Ikiwa haijapita hata wiki moja tangu kujiuzulu nafasi ya Mwenyeketi wa Bodi wa timu hiyo MO Dewji. Sababu za kamwaga kubwanga manyanga bado hazijawekwa wazi ila za ndani zinasema kuwa amechoshwa kupelekeshwa na mtendaji mkuu wa timu hiyo.

Alipoulizwa Mwenyekiti wa Simba ndugu Mangungu kuhusiana na taarifa hizi amesema watalitoea tamko hapo baadae.
 
Utopwinyo bwana, kamwaga anafanyiwa sherehe ya kuagwa weekend hii baada ya kumaliza mkataba wake wa miezi miwili wa kukaimu nafasi ya msemaji mkuu wa club.

Kwasasa simba inasubiri kumtangaza msemaji rasmi wa club ambapo mchachakato wa kumpata umekwisha kamilika.
 
Katika kile kinachoelezwa hali si shwari ndani ya Club ya Simba,inaelezwa Msemaji wa timu hiyo ndugu Ezekiel Kamwaga ameamua kukaa pembeni kuendelea na majukumu yake ndani ya club hiyo. Tukio hili linatokea Ikiwa haijapita hata wiki moja tangu kujiuzulu nafasi ya Mwenyeketi wa Bodi wa timu hiyo MO Dewji. Sababu za kamwaga kubwanga manyanga bado hazijawekwa wazi ila za ndani zinasema kuwa amechoshwa kupelekeshwa na mtendaji mkuu wa timu hiyo. Alipoulizwa Mwenyekiti wa Simba ndugu Mangungu kuhusiana na taarifa hizi amesema watalitoea tamko hapo baadae.
We kashabikie kariobangi huko kenya mambo ya tz huyajui. Huyo Eze alikaimu kwa muda wa miezi 2 tu. Na amesema haongezi muda maana anaenda UK masomoni.. LUC EMELY alisemaga mashabiki wa .... ni......[emoji41][emoji41]
 
Utopwinyo bwana, kamwaga anafanyiwa sherehe ya kuagwa weekend hii baada ya kumaliza mkataba wake wa miezi miwili wa kukaimu nafasi ya msemaji mkuu wa club. Kwasasa simba inasubiri kumtangaza msemaji rasmi wa club ambapo mchachakato wa kumpata umekwisha kamilika.
Na Mwamedi mnamfanyia lini Sherehe?
 
Haya sasa tukisema utopolo mna ubongo wa mende mnahisi kama tunawakosea lakini nyinyi wenyewe ndio mnakuja ku prove hapa kua tulikua sahihi

Huyo kumwaga mkataba wake uliisha siku kadhaa zimepita, alikua msemaji kwa muda wa miezi miwili tu sasa kuja kuweka hii habari hapa kiunazi ni upimbi
 
Utopolo akili zao ziko kwenye masaburi! Na ndio maana wao makombe hawana haja nayo..wao wakimfunga Simba inatosha...!
Lete takwimu hapa, Yanga na Mbumbumbu nani mwenye makombe mengi.
 
Back
Top Bottom