Bundi atua Msimbazi, msemaji wa Simba ndugu Ezekiel Kamwaga abwaga manyanga

Bundi atua Msimbazi, msemaji wa Simba ndugu Ezekiel Kamwaga abwaga manyanga

Utoh mnateseka na nini pambaneni na timu yenu mnahangaika na Simba
 
Akili za utopolo ni kutafuta visa vya kijinga Kama hivi na kujifurahisha.

Kamwaga alikuwa msemaji wa mpito kwa miezi miwili tu. Kashamaliza muda wake kaagwa kwa heshima.

Unaleta uzi wa kipuuzi wa nini?
 
Akili za utopolo ni kutafuta visa vya kijinga Kama hivi na kujifurahisha.

Kamwaga alikuwa msemaji wa mpito kwa miezi miwili tu. Kashamaliza muda wake kaagwa kwa heshima.

Unaleta uzi wa kipuuzi wa nini?
"Msimu huu tumekamiwa sana,wanavunja wachezaji wetu"
 
Katika kile kinachoelezwa hali si shwari ndani ya Club ya Simba,inaelezwa Msemaji wa timu hiyo ndugu Ezekiel Kamwaga ameamua kukaa pembeni kuendelea na majukumu yake ndani ya club hiyo. Tukio hili linatokea Ikiwa haijapita hata wiki moja tangu kujiuzulu nafasi ya Mwenyeketi wa Bodi wa timu hiyo MO Dewji. Sababu za kamwaga kubwanga manyanga bado hazijawekwa wazi ila za ndani zinasema kuwa amechoshwa kupelekeshwa na mtendaji mkuu wa timu hiyo. Alipoulizwa Mwenyekiti wa Simba ndugu Mangungu kuhusiana na taarifa hizi amesema watalitoea tamko hapo baadae.

Hivi inakuwaje mtu mzima unaamua kuwa muongo na mbaya zaidi utakuta wewe ni jinsia ya kiume.Baadhi ya Utopolo frustration za kukosa kombe misimu minne mfululizo zimewafanya akili zenu zimepungua kichwani[emoji3]
 
Na bado,mtatia sana huruma msimu huu. Hii mpaka Samia atoke madarakani.
 
Back
Top Bottom