Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Wewe ndio Mangungu?Kwani alikaimu cheo kwa mda gani? Jiulize miezi miwili bado au tayari?
We kashabikie kariobangi huko kenya mambo ya tz huyajui. Huyo Eze alikaimu kwa muda wa miezi 2 tu. Na amesema haongezi muda maana anaenda UK masomoni.. LUC EMELY alisemaga mashabiki wa .... ni......[emoji41][emoji41]Katika kile kinachoelezwa hali si shwari ndani ya Club ya Simba,inaelezwa Msemaji wa timu hiyo ndugu Ezekiel Kamwaga ameamua kukaa pembeni kuendelea na majukumu yake ndani ya club hiyo. Tukio hili linatokea Ikiwa haijapita hata wiki moja tangu kujiuzulu nafasi ya Mwenyeketi wa Bodi wa timu hiyo MO Dewji. Sababu za kamwaga kubwanga manyanga bado hazijawekwa wazi ila za ndani zinasema kuwa amechoshwa kupelekeshwa na mtendaji mkuu wa timu hiyo. Alipoulizwa Mwenyekiti wa Simba ndugu Mangungu kuhusiana na taarifa hizi amesema watalitoea tamko hapo baadae.
Kaaga muda mrefu tu kwamba anaenda masomoni ,Barbara naye yuko Colombia kumzika baba yake huko utopoloni ni shangwee eti kaacha kazi wengine instagram walizusha kafariki na kulikuwa na shangwe la ajabu kwenye comments za wana utopolo waliposikia fununu za kifoMda Wake ulikwisha
Na Mwamedi mnamfanyia lini Sherehe?Utopwinyo bwana, kamwaga anafanyiwa sherehe ya kuagwa weekend hii baada ya kumaliza mkataba wake wa miezi miwili wa kukaimu nafasi ya msemaji mkuu wa club. Kwasasa simba inasubiri kumtangaza msemaji rasmi wa club ambapo mchachakato wa kumpata umekwisha kamilika.
Hivi kuna uhusiano wowote wa roho mbaya/utindio wa akili na kushabikia utopwinyo?Hii timu hi mwaka huu timu nyingine zitajipgia
Sherehe ya nini wakati kabwaga manyanga kama ulivyosema ? au unataka huyo bundi aliyetua afanyiwe sherehe?Na Mwamedi mnamfanyia lini Sherehe?
Lete takwimu hapa, Yanga na Mbumbumbu nani mwenye makombe mengi.Utopolo akili zao ziko kwenye masaburi! Na ndio maana wao makombe hawana haja nayo..wao wakimfunga Simba inatosha...!