Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
- Thread starter
-
- #21
Mbumbumbu mwenzako kasema Kamwaga mnamfanyia sherehe weekend hiiSherehe ya nini wakati kabwaga manyanga kama ulivyosema ? au unataka huyo bundi aliyetua afanyiwe sherehe?
hapana tunamfanyia sherehe huyo bundi aliyetua msimbaziMbumbumbu mwenzako kasema Kamwaga mnamfanyia sherehe weekend hii
Tatizo Utopolo wanaamini anayeleta ubingwa ni msemaji wa club. Yani Utopolo hawana tofauti na nyani uteleziUtopolo akili zao ziko kwenye masaburi! Na ndio maana wao makombe hawana haja nayo..wao wakimfunga Simba inatosha...!
Inayumba sio kitotoNavyoona timu yangu inavyoyumba basi yanga wasipochukua msimu huu basi watakua matopolo mara dufu
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeyumba wapi? Simba iko imaraNavyoona timu yangu inavyoyumba basi yanga wasipochukua msimu huu basi watakua matopolo mara dufu
Sent using Jamii Forums mobile app
"Msimu huu tumekamiwa sana,wanavunja wachezaji wetu"Akili za utopolo ni kutafuta visa vya kijinga Kama hivi na kujifurahisha.
Kamwaga alikuwa msemaji wa mpito kwa miezi miwili tu. Kashamaliza muda wake kaagwa kwa heshima.
Unaleta uzi wa kipuuzi wa nini?
Umbumbumbu unakupofushaImeyumba wapi? Simba iko imara
Katika kile kinachoelezwa hali si shwari ndani ya Club ya Simba,inaelezwa Msemaji wa timu hiyo ndugu Ezekiel Kamwaga ameamua kukaa pembeni kuendelea na majukumu yake ndani ya club hiyo. Tukio hili linatokea Ikiwa haijapita hata wiki moja tangu kujiuzulu nafasi ya Mwenyeketi wa Bodi wa timu hiyo MO Dewji. Sababu za kamwaga kubwanga manyanga bado hazijawekwa wazi ila za ndani zinasema kuwa amechoshwa kupelekeshwa na mtendaji mkuu wa timu hiyo. Alipoulizwa Mwenyekiti wa Simba ndugu Mangungu kuhusiana na taarifa hizi amesema watalitoea tamko hapo baadae.
Wewe unaona tupo imara? Jana lile goli la kagere yani watu tuliruka nusu tuvunje vitu tumekua na ukame wa magoli wewe unaona tuna maisha marefu kweli, ngoja muda ndiyo utaamuaImeyumba wapi? Simba iko imara
Kusikie vile magego yako yote yaliyo jaa mboga za majani njee!!!"Msimu huu tumekamiwa sana,wanavunja wachezaji wetu"
Yule msemaji wenu aliwahi kusema wenye akili utopoloni ni mzee Sunday na kikwete tu.Umbumbumbu unakupofusha
Watakuja kukuita wewe ni UtoWewe unaona tupo imara? Jana lile goli la kagere yani watu tuliruka nusu tuvunje vitu tumekua na ukame wa magoli wewe unaona tuna maisha marefu kweli, ngoja muda ndiyo utaamua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbumbumbu katika peak yakoYule msemaji wenu aliwahi kusema wenye akili utopoloni ni mzee Sunday na kikwete tu.
Sasa ulitaka tusishangilie?Wewe unaona tupo imara? Jana lile goli la kagere yani watu tuliruka nusu tuvunje vitu tumekua na ukame wa magoli wewe unaona tuna maisha marefu kweli, ngoja muda ndiyo utaamua
Sent using Jamii Forums mobile app
Utopolo hamjawahi kuwa timamu.Mbumbumbu katika peak yako
Na bado,mtatia sana huruma msimu huu. Hii mpaka Samia atoke madarakani.Hivi inakuwaje mtu mzima unaamua kuwa muongo na mbaya zaidi utakuta wewe ni jinsia ya kiume.Baadhi ya Utopolo frustration za kukosa kombe misimu minne mfululizo zimewafanya akili zenu zimepungua kichwani[emoji3]
Ulitaka goli lifungwe watu walie? We mshangiliaji na siyo mdau wa simba wala soka.Wewe unaona tupo imara? Jana lile goli la kagere yani watu tuliruka nusu tuvunje vitu tumekua na ukame wa magoli wewe unaona tuna maisha marefu kweli, ngoja muda ndiyo utaamua
Sent using Jamii Forums mobile app