Bundi atua Msimbazi, msemaji wa Simba ndugu Ezekiel Kamwaga abwaga manyanga

We kashabikie kariobangi huko kenya mambo ya tz huyajui. Huyo Eze alikaimu kwa muda wa miezi 2 tu. Na amesema haongezi muda maana anaenda UK masomoni.. LUC EMELY alisemaga mashabiki wa .... ni......[emoji41][emoji41]
alisema ni wale wasioona makundule
 
Ulitaka goli lifungwe watu walie? We mshangiliaji na siyo mdau wa simba wala soka.
Jitahidi kuelewa naongelea tumekua na ukame sana wa magoli, nilifurahi sana ila mimi ni mshabiki ninae anagalia mbele mechi zijazo tuongeze magoli, lile goli lingerudishwa tungetoka sare shida baadhi mna mahaba yanayotia upofu, tukubali kuna maeneo bado simba hatujaimarika sasa shida nini tukijikosoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi kutoa taarifa ya kamwaga ,kwani taarifa ya kamwaga kukaimu miezi miwil aliitoa mwamedi?
 
Nashangaa kwa nini JF hawautoi huu uzi wa uongo mkubwa.
KamwagA alistress tangu mwanzo mkataba wake ni miezi miwili tu, baada ya hapo anaenda UK masomoni.
Ama utopolo kweli kwishnei kwa uzandiki - sikujua kama wanaiogopa Simba kiasi hiki.
 
Ukivimbiwa Unaweza Kuj*mba Hovyo Ndiyo Utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…