Bundi atua Msimbazi, msemaji wa Simba ndugu Ezekiel Kamwaga abwaga manyanga

Stori ya kimalaya kabisa hii. Kamwaga alikuwa na mkataba wa miezi miwili tu na umekwisha,hivi watopolo mnatumia viungo gani vya miili yenu kufikiri?
 
Wewe unaona tupo imara? Jana lile goli la kagere yani watu tuliruka nusu tuvunje vitu tumekua na ukame wa magoli wewe unaona tuna maisha marefu kweli, ngoja muda ndiyo utaamua

Sent using Jamii Forums mobile app



kaka mechi mbili
presha ishakupanda.. dah... kweli mashabiki wa soka Bongo... hapo hamjafungwa .. je mngefungwa... hebu kuwa shabiki wa soka na sio tu wa club.. huwez kushinda kila
mechi.. juve alikuwa bingwa mara tisa.. na msimu uliopita alichemsha..

liver alichukua UEFA na ligi msimu
uliofata akashindwa kutetea.. ila nauhakika ingekuwa Bongo Klop angeshafukuzwa
 

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sawa mkuu hayo ni maoni yako pia hayapingiki, kila mtu ana mahaba yake namna anavyoyachukulia kwenye soccer, ni kama mwanamke hatuwezi fanana kwenye kupenda mimi naweza mpenda hivi nikajiona nampenda na wewe unaweza mpenda kivingine ukaona unampenda zaidi yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili nafasi alikaimu kwa miezi miwili ,na mda wake umeisha ,usikurupuke mkuu
 
Mkuu ni kuwa Kamwaga hakuwa msemaji rasmi wa Simba yeye alikuwa msemaji wa muda tu. Kamwaga anaenda Uingereza kusoma.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 

Typical Utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…