Bundi katika ubora wake

Bundi katika ubora wake

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Huyu nae ni mbabe wa koboko. Yaani Mungu fundi kweli,hili dude limekaa kifala kweli ila shughuli yake koboko anaijua. Yanawatafuna balaa. Na eneo lililo na Bundi koboko lazima achague mambo mawili abaki ili aliwe au ahame haraka sana kuokoa maisha yake. Wewe mchukie tu na mhusishe kwa ushirikina ila ni potential sana.

FB_IMG_1711611262287.jpg
 
Huyu nae ni mbabe wa koboko.Yaani Mungu fundi kweli,hili dude limekaa kifala kweli ila shughuli yake koboko anaijua.Yanawatafuna balaa.Na eneo lililo na Bundi koboko lazima achague mambo mawili abaki ili aliwe au ahame haraka sana kuokoa maisha yake.Wewe mchukie tu na mhusishe kwa ushirikina ila ni potential sana
Hyu ana shingo kama feni
inazinguka nyuzi mia ishirini 😀
 
Huyu nae ni mbabe wa koboko. Yaani Mungu fundi kweli,hili dude limekaa kifala kweli ila shughuli yake koboko anaijua. Yanawatafuna balaa. Na eneo lililo na Bundi koboko lazima achague mambo mawili abaki ili aliwe au ahame haraka sana kuokoa maisha yake. Wewe mchukie tu na mhusishe kwa ushirikina ila ni potential sana.

View attachment 2946645
tuoneshe video wakipambana na koboko
 
Duh!! Huyu ndege akishuka juu ya paa la nyumbani kwenu ni ishara neema zitakazowadondokea.
 
Huyu nae ni mbabe wa koboko. Yaani Mungu fundi kweli,hili dude limekaa kifala kweli ila shughuli yake koboko anaijua. Yanawatafuna balaa. Na eneo lililo na Bundi koboko lazima achague mambo mawili abaki ili aliwe au ahame haraka sana kuokoa maisha yake. Wewe mchukie tu na mhusishe kwa ushirikina ila ni potential sana.

View attachment 2946645
Weka video akimtafuna huyo koboko tuone
 
Back
Top Bottom