Hata bundi weupe🫢bundi ananusa sana damu
Malengo yake ni tujue kuwa yupo nje ya nchi.Ndani ya week mbili kuna jirani ambaye ni mgonjwa atafariki au utaletewa habari ya msiba wa mtu wako wa karibu(ndugu ,jamaa au rafiki).
Tumia maji ya mwamposaKumbe diaspora
Unatuchuuza tu huku tuandamane
bundi ni bundi hakuna cha wacanada, sumbawanga, cjui waitaly bro. Hata wazungu wanawatumia ndugu yangu. Unakumbuka ule msemo wa 'ukimwona fisi mjini ujue......Bundi wa canada hawanaga madhara
FINALLY YOU MADE IT CLEARMalengo yake ni tujue kuwa yupo nje ya nchi.
Hivi kuna Mtanzania ambaye hajui nini bundi huwa anafanya,
Kwa jinsi jamii inavyopenda hayo mambo , hakuna.
Sio kweli, n mara ngapi mitaani kuna misiba na hakuna bundi?Wanasema et bundi anatambua seli zilizokufa kwa binadamu
Coz wanasema et kabla roho kutoka kwa binadamu seli za mwili ndio huanza kufa kwanza
Nb sina uhakika
Nimesema sina uhakika lakinSio kweli, n mara ngapi mitaani kuna misiba na hakuna bundi?
Dah hana bahatiJana jioni aliondoka lakini leo karudi tena. Nimeleta chakula cha ndege na kukitundika kwenye mlingoti wa bendera karibu na kona aliyokaa bundi huyo lakini ndege wengine wakakivamia na kukila chote kabla bundi huyo hajajua kuwa kuna chakula hicho
Ni kweliWanasema et bundi anatambua seli zilizokufa kwa binadamu
Coz wanasema et kabla roho kutoka kwa binadamu seli za mwili ndio huanza kufa kwanza
Nb sina uhakika
Oooh asante mkuuNi kweli
wana sense of smell ya kujua mzoga uko wapi kama kitoweo
Nimesoma sehemu kuwa ndege aina ya Bundi, licha ya kuhusishwa na imani za kichawi kama mikosi, mtu kufariki akionekana au kusikika akilia jirani, kutokea ghafla nk eti si kweli kwamba ni mchawi bali ana uwezo wa kunusa mtu aliyekaribia kufa.
![]()
Je, ukweli wake ni upi?
- Nyendo
![]()
- bundi mchawi mkubwa uwezo
- Replies: 11
- Forum: JamiiCheck
Kama ni kweii, basi maeneo ya hospitali kungekuwa na bundi wengi sana.Ni kweli
wana sense of smell ya kujua mzoga uko wapi kama kitoweo
Nimesoma sehemu kuwa ndege aina ya Bundi, licha ya kuhusishwa na imani za kichawi kama mikosi, mtu kufariki akionekana au kusikika akilia jirani, kutokea ghafla nk eti si kweli kwamba ni mchawi bali ana uwezo wa kunusa mtu aliyekaribia kufa.
![]()
Je, ukweli wake ni upi?
- Nyendo
![]()
- bundi mchawi mkubwa uwezo
- Replies: 11
- Forum: JamiiCheck
Unafikiri mtu kama Lema ameificha familia yake Canada kwa bahati mbaya?Kumbe diaspora
Unatuchuuza tu huku tuandamane