hata wewe jiongeze hapo. Ukute umesimama sehemu afu taa iwake ghafla si unashtuka. Hivo hivo kwa bundi taa ikiwaka ghafla na kuzma atashtuka na kutoroka na uache ubishi kwa maswala ya maanaDuh hii ni adhabu.
Sasa kuna uhusiano gani kati ya bundi na kuwasha/kuzima taa?
Sijabisha ila nimehitaji clarification ili kuoanisha hiyo concept yako.hata wewe jiongeze hapo. Ukute umesimama sehemu afu taa iwake ghafla si unashtuka. Hivo hivo kwa bundi taa ikiwaka ghafla na kuzma atashtuka na kutoroka na uache ubishi kwa maswala ya maana
mfano mwingne n wa popo kuhamia ndani ya ceiling hapo wewe funga tu bulb yenye mwanga mkali then unaiwasha mchana yaan unawasha uliwaskia wakigalagazana huko juu watakereka waondoke wakuachie nyumba yako. Wewe funga hata bulb mbili za mwanga mkali popo utawasikia kwa jirani.Sijabisha ila nimehitaji clarification ili kuoanisha hiyo concept yako.