Bundi Nyumbani Kwangu


Hali ni ya kawaida sana wapo kwsnye harakati za kusaka mlo wao wa kila siku , ila kwa sababu umetilia shaka ngoja WASHIRIKINA waje wakuzidishie hofu ili uende kwa waganga ukapigwe pesa bure kisha uwe umefanya shirki halafu wakushauri udhuru ndege wasio na hatia yoyote .
 
Tengeneza mambo ya nyumba yako
 
Hizi ni imani za hovyo, yaani bundi kuunganishwa na imani za ajabu ajabu kuna watu kwao ni kawaida sanaa sasa yote haya umeyathibitisha vipi?
 
What a Rubbish!

Achana na imani za hovyo kijana.
 
Hao wanatoa taarifa kwamba pengine kuna wanyama wanaowatumia wanapatikana kwako, au mitaani kwenu kuna mtu mgonjwa sana ambaye anaweza kufariki. Bundi wako sensitive sana kutambua seli zilizokufa.

Pia inaweza kuwa monitoring spirit, CCTV Camera ya kichawi inakufuatilia, sawa na wale mijusi wanaokaa ndani ya majumba yetu, nzi, buibui au mende. Kisha wanapeleka taarifa kwa aliyewatuma. Pia possible mtaani kwenu kuna ma master.

Spiritually uko strong, kwa kuwa kama ni bundi wa kichawi usingemuona
 
Wamekusumbua? Au una lako?
 
Punguza panya hapo kwako, viumbe vinatafuta chakula wewe unaleta hisia zako, sisima na Yesu, ishi na Yesu!
 
Punguza panya hapo kwako, viumbe vinatafuta chakula wewe unaleta hisia zako, sisima na Yesu, ishi na Yesu!
kwa asili mtu mweusi ni kiumbe mharibifu sana. muda wote ni fikra za alinacha tu.

hii dunia tungekuwa weusi tu sijui ingekuwaje bila shaka tungeshaangamia wote kwa ujinga wa baadhi yetu.

sasa kiumbe kinapita zake kusaka mawindo jamaa anamaind na si ajabu tyr keshawauwa ao bundi wenyewe kaja apa kujiongelesha tu aone wajinga wenzake wangapi watamsapoti.

kuna nchi uko mambele awa ndege na wanyama wako huru ña zipo sheria kabisa za kuwalinda, wako peace sana na watu kiasi unaweza kukuta njiwa anatua hata mabegani kwa mtu bila hofu yyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…