Bro nimeshangaa avatar Yako imefanana na bundi, just have a look of it. Anyway, nilijua upo Wilayani vijijini huko kumbe upo katikati ya Jiji.
Hao bundi wa mujini wanaendana na mikosi na nuksi, na pia huenda one of your neighbours ana matunguri NA akishayatuma huko basi mida hii ndio yanarudi na bahati mbaya unakutana nayo.
Uzuri ni kwamba kwakuwa hawalii wapo silent basi hawana madhara kwako, ila mind you, siku wakianza kutoa ile milio yao itakuwa too late.
Ushauri : Anza kutafuta sehemu nyingine ya kuhamia, hapo ulipo kuna mambo mengi.