ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Hiv kwa mfano coment kama hii unai practice vipi au unaiwekaje kwenye uhalisiaMkuu usiwaue au kuwadhuru hao ni viumbe wazuri tu. Usiwahofie badala yake jifunze kuwasiliana nao kwa kuwaangalia tu na kukaa kimya bila kuwachokoza. Fanya tahajudi jiunganishe nao watakusaidia sana.