Bundi Nyumbani Kwangu

Bundi Nyumbani Kwangu

Mkuu usiwaue au kuwadhuru hao ni viumbe wazuri tu. Usiwahofie badala yake jifunze kuwasiliana nao kwa kuwaangalia tu na kukaa kimya bila kuwachokoza. Fanya tahajudi jiunganishe nao watakusaidia sana.
Hiv kwa mfano coment kama hii unai practice vipi au unaiwekaje kwenye uhalisia
 
Wanasema bundi ndie ndege pekee anaeweza kunusa kifo kabla hakijatokea/maiti ndio maana wengi wanasema bundi akija kwako kuna mtu atakufa maeneo hayo
 
Pole sana kwa mshtuko...
Unaweza kuangalia positives za bundi na kuziweka kwenye akili yako na ukaondoa hofu yako na neema ikatawala familia yako...
 
Mbona kunguru hata wakikaa kikundi chao wakawa10 hushtuki?

Nini kinakufanya ushtuke kumuona bundi?
 
Mbona kunguru hata wakikaa kikundi chao wakawa10 hushtuki?

Nini kinakufanya ushtuke kumuona bundi?
Kuwaona aina 4 tofauti za bundi na rangi tofauti
Sikutegemea kumuona bundi mweupe pia
 
Nilikuw macho. Kuogopa ni kwa sababu nimeandika keronataka kuwaua? Au
nimeona umeandika "Bundi niliyemuona leo mda huu naandika" yani ile act a kumuona bundi na kuandika hapohapo ni kama ulikua unahofu na kuhitaji msaada wa haraka jf mkuu ni mawazo yangu tu ambayo hayafiki hata level ya muswada achilia mbali sheria
 
Haha litro acha ukorofi. Subiri watu washushe story za kutunga ukosoe, hifadhi criticism 😄
 
Kuwaona aina 4 tofauti za bundi na rangi tofauti
Sikutegemea kumuona bundi mweupe pia
Bundi kama kuku wana rangi tofautitofati, pia wana aina km. wengibe ni mbegu kubwa kama walivyo popo. Huyo mweupe ni whitelegon kana kuku na mweusi ni malawi na mwekundu rhode island red nk. Kuna vingjne mbegu ndogo kama chiriku. Angalia mfano wa parots walivyo aina nyingi
 
Yeah nimefuga kuku, bata, na parrors before naweza kurelate na unachosema

Inawezekana kuna watu wanawafuga huku napoishi. Kwa sababu kuona aina nne tofauti za bundi, uwezekano mkubwa kuna mwamba anawafuga
 
Unafuga panya?
Mazingira nayoishi kuna panya kwa sababu ya mifugo. Panya huwa wanakuja kula pumba

Nafuga kuku na bata, hivyo panya wanatoka mbali kuja kula pumba.

Kuhusu panya huwa naweka sumu huko nje, sasa hivi sidhani kama kuna panya wa kuonekana kiivyo.

Inawezekana kama wanawinda panya nimepata jibu. Hawajawahi kulia ni wako kimya kimya
 
Back
Top Bottom