Bundi Nyumbani Kwangu

Bundi Nyumbani Kwangu

Mazingira nayoishi kuna panya kwa sababu ya mifugo. Panya huwa wanakuja kula pumba

Nafuga kuku na bata, hivyo panya wanatoka mbali kuja kula pumba.

Kuhusu panya huwa naweka sumu huko nje, sasa hivi sidhani kama kuna panya wa kuonekana kiivyo.

Inawezekana kama wanawinda panya nimepata jibu. Hawajawahi kulia ni wako kimya kimya
Chakula cha Bundi hicho
 
Shindwa yesuuuuu
Toka yesuuuu

aaah
aah
Usitoke yesu kaa na mi baba Toka pepooo
nakupiga na moto fayaa Fayaaaa FAYAAAA
 
Alisimama kwenye dish la azam anachungulia durishani chumbani kwangu. Sikuwa nimelala nilichoona mwanzo ni reflection ya taa, ana sura imekaa kama ❤️ . Ananiangalia kwa kunichunguza

Nimeona nilete uzi kwa sababu nimeshtuka jinsi alivyokuwa ananitazama
Pole kaka pole Sanaa..bundi sio kiumbe mzuri.

Ni kiumbe wa bahati mbaya..mikosi.. ajari..ma balaa..laana.. KIFO.

Ngoja tumwite bro Mshana Jr
 
Wanasema bundi ndie ndege pekee anaeweza kunusa kifo kabla hakijatokea/maiti ndio maana wengi wanasema bundi akija kwako kuna mtu atakufa maeneo hayo
Hili lina ukweli lakini siyo kama watu wanavyohadithia. Ukweli uko hivi: Zamani sana mababu zetu walikuwa hawana hospital. Hivyo watu wengi walikuwa wanaugua na kufariki wakiwa nyumbani. Hebu fikiria mtu aliyepata ugonjwa ukamlaza kwa muda mrefu na pengine apoteze fahamu. Wagonjwa wa aina hii walikuwa wanaugua vindonda vilivyokuwa vinatoa harufu. And guess what? Zamani ndege na wanyama walao mizoga walikuwa wengi na walikuwa karibu na makazi ya watu. Hivyo basi, kitendo cha mtu kuwa karibu na umauti na kutoa harufu kilikuwa kinavutia ndege kama bundi wanatua karibu na makazi ya mwenye mgonjwa, wengine mpaka kwenye paa. Hii ndiyo ilifanya watu waamini kuwa bundi ni ishara ya kifo na imani imekuwepo mpaka leo.
 
Ninaweza kukubaliana na wewe kwakua sina uhakika na lolote kuhusu bundi,zaidi ya kusikia kwa watu
Ninachokijua bundi sio hatar,wala hausiki na ushirikina kwa sababu nimewah kuishi kijijini na bundi kila siku lazima aje kwenye mti mmoja karibu na paa,na analia muda wote na sijawah ona kama ina madhara
Hili lina ukweli lakini siyo kama watu wanavyohadithia. Ukweli uko hivi: Zamani sana mababu zetu walikuwa hawana hospital. Hivyo watu wengi walikuwa wanaugua na kufariki wakiwa nyumbani. Hebu fikiria mtu aliyepata ugonjwa ukamlaza kwa muda mrefu na pengine apoteze fahamu. Wagonjwa wa aina hii walikuwa wanaugua vindonda vilivyokuwa vinatoa harufu. And guess what? Zamani ndege na wanyama walao mizoga walikuwa wengi na walikuwa karibu na makazi ya watu. Hivyo basi, kitendo cha mtu kuwa karibu na umauti na kutoa harufu kilikuwa kinavutia ndege kama bundi wanatua karibu na makazi ya mwenye mgonjwa, wengine mpaka kwenye paa. Hii ndiyo ilifanya watu waamini kuwa bundi ni ishara ya kifo na imani imekuwepo mpaka l
 
Ninaweza kukubaliana na wewe kwakua sina uhakika na lolote kuhusu bundi,zaidi ya kusikia kwa watu
Ninachokijua bundi sio hatar,wala hausiki na ushirikina kwa sababu nimewah kuishi kijijini na bundi kila siku lazima aje kwenye mti mmoja karibu na paa,na analia muda wote na sijawah ona kama ina madhara
Tuko pamoja sana. Hata mimi naomba nieleweke vizuri. Bundi hana madhara ila imani potofu imetokana na hicho nilichoelezea.
 
Back
Top Bottom