demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Simba SC imesajili wachezaji 11 lakini Sadio Kanoute pekee ndiye mwenye ITC.
Wahenga wanasema ubora ni kheri ya Idadi. Simba iliona ishindane na Yanga SC kwenye kusajili wachezaji wengi ili hali wakasahau kuwa wanapaswa kuendelea na pale walipoishia. Mwisho wa siku wakajipata pale walioishia Yanga SC msimu wa mwaka 2020/21.
Kulikuwa na haja gani kusajili wachezaji wote wale ili hali ni wachezaji wawili tu walio ondoka?
Kulikuwa na haja gani ya kuzingatia idadi kuiko ubora wa kikosi?
Kulikuwa na haja gani ya kununua wachezaji wa bei ndogo ndogo wengi na kuacha kuwekeza pesa kwenye wachezaji wachache kwa gharama hiyo hiyo?
Natambua kuwa viongozi wengi wanadhani kuwa wanaweza kupata wakina chama & miqqie kati ya hawa wengi walio sajiliwa. Je ni mkakati mzuri wa kuhakikisha unaboresha timu na kuwa consistance?
Kati ya wachezaji wote wapya 11 walio sajiliwa. Ni mchezaji mmoja tu (SADIO KANOUTE) ambaye amejihakikishia nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Simba SC. Hao wengine wote wako sawa na akina' Jadon SANCHO.
Inaonekana wazi kuwa bundi wa Yanga SC wa misimu minne amehamia rasmi Mzimbazi. Maana kuna lundo kubwa sana la wachezaji walio avarage katika kikosi cha Simba msimu huu. Hii changamoto ilitusumbua sana wanajangwani mpaka sasa tumekwisha fikia hatua nzuri ya kuipatia dawa yake.
Sio kazi rahisi kuamini kuwa enzi zimefikia tamati, lakini muda utawasaidi kulitambua hilo.