Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Wadau,
Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi vya siasa.
Kwa mujibu wa katiba iliyopo bunge lazima liwe na Kambi Rasmi ya Upinzani, Mkuu wa Kambi, Mnadhimu Mkuu na Mawaziri Vivuli.
Hiyo ndio nchi yetu!
Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi vya siasa.
Kwa mujibu wa katiba iliyopo bunge lazima liwe na Kambi Rasmi ya Upinzani, Mkuu wa Kambi, Mnadhimu Mkuu na Mawaziri Vivuli.
- Tumeshuhudia Bunge lililopo halina Kambi Rasmi ya Upinzani
- Halina Mnadhimu Mkuu
- Halina Mawaziri Vivuli
- Halina hotuba ya Kambi ya Upinzani
- Halina hotuba za mawaziri vivuli sana sana tumeshuhudia lina wabunge 19 ambao hawana chama baada ya kufukuzwa na chama chao
Hiyo ndio nchi yetu!