Wadau Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi vya siasa
Kwa Mujibu wa Katiba iliyopo BUNGE lazima liwe na KAMBI RASMI ya UPINZANI,MKUU wa Kambi,MNADHIMI MKUU na MAWAZIRI Vivuli.
Tumeshuhudia BUNGE lililopo halina Kambi Rasmi ya UpinzanI,
Halina kiongozi wa hiyo KAMBI
Halina MNADHIMU MKUU
Halina MAWAZIRI Vivuli
Halina HOTUBA ya KAMBI ya UPINZANI
Halina HOTUBA za MAWAZIRI Vivuli sana sana tumeshuhudia lina WABUNGE 19 Ambao hawana CHAMA baada ya kufukuzwa na chama chao
Hayo ni MAAJABU ya BUNGE na SERIKALI inayojinasibu kufuata UTAWALA wa SHERIA
Hiyo ndio NCHI Yetu