Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Hao wanasikia lkn hawaelewi na wanatazama lkn hawaoni.Hatutaki, wacha wamalize miaka mitano tupate cha kuuliza, namna wapinzani wamesaidia "kuchelewesha" maendeleo!
No oneWho care?
Ndiyo maaana ukiwaambia habari za katiba mpya hawa watu wanakuona kama ni adui wa taifa.Wametukosea sana Watanzania.
Ni muda muafaka kuwa katiba mpya kuondoa aintofahamu hii
Ulichoandika siyo sahihiWakulaumiwa ni Viongozi wa Upinzani kwa kutumia Jukwaa la siasa, wakati wa kampeni ya Uchaguzi Mkuu 2020, kumtukana hayati Magufuli badala ya kunadi Ilani zao za Uchaguzi zilizokuwa zimesheheni Sera mbadala za maendeleo na mikakati ya utekelezaji.
Kwenye kampeni hiyo upinzani ulishindana na kivuli cha Magufuli badala ya udhaifu wa Ilani za Uchaguzi za CCM na utekelezaji wake. Na bado kivuli hicho kinaendelea kutesa upinzani
Kwa jinsi Upinzani ulivyovuna ulichopanda 2020 ndivyo hivyo utavuna 2025 kama staili yao ya kuendesha siasa haubadiliki.
Tunahitaji upinzani wenye maslahi mapana ya Taifa na siyo maslahi ya viongozi wake kuingia madarakani. Viongozi watangulize UTAIFA (elimu, afya, maji, nishati, kulinda maliasili kwa faida ya nchi, uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa, nk) badala ya UMIMI (umaarufu, cheo, madaraka, nk)
Tulia, katiba itatumika uchumi ukitengemaa, hivi sasa hatuhitaji katiba.Wadau Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi vya siasa
Kwa Mujibu wa Katiba iliyopo BUNGE lazima liwe na KAMBI RASMI ya UPINZANI,MKUU wa Kambi,MNADHIMI MKUU na MAWAZIRI Vivuli.
Tumeshuhudia BUNGE lililopo halina Kambi Rasmi ya UpinzanI,
Halina kiongozi wa hiyo KAMBI
Halina MNADHIMU MKUU
Halina MAWAZIRI Vivuli
Halina HOTUBA ya KAMBI ya UPINZANI
Halina HOTUBA za MAWAZIRI Vivuli sana sana tumeshuhudia lina WABUNGE 19 Ambao hawana CHAMA baada ya kufukuzwa na chama chao
Hayo ni MAAJABU ya BUNGE na SERIKALI inayojinasibu kufuata UTAWALA wa SHERIA
Hiyo ndio NCHI Yetu
Zuzu mwingine huyu hapa.Wakulaumiwa ni Viongozi wa Upinzani kwa kutumia Jukwaa la siasa, wakati wa kampeni ya Uchaguzi Mkuu 2020, kumtukana hayati Magufuli badala ya kunadi Ilani zao za Uchaguzi zilizokuwa zimesheheni Sera mbadala za maendeleo na mikakati ya utekelezaji.
Kwenye kampeni hiyo upinzani ulishindana na kivuli cha Magufuli badala ya udhaifu wa Ilani za Uchaguzi za CCM na utekelezaji wake. Na bado kivuli hicho kinaendelea kutesa upinzani
Kwa jinsi Upinzani ulivyovuna ulichopanda 2020 ndivyo hivyo utavuna 2025 kama staili yao ya kuendesha siasa haubadiliki.
Tunahitaji upinzani wenye maslahi mapana ya Taifa na siyo maslahi ya viongozi wake kuingia madarakani. Viongozi watangulize UTAIFA (elimu, afya, maji, nishati, kulinda maliasili kwa faida ya nchi, uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa, nk) badala ya UMIMI (umaarufu, cheo, madaraka, nk)
Huyo ni zaidi ya zuzu tulisha mdharau kitambo maana hana tofauti na kipara kipya na WakudadavuaZuzu mwingine huyu hapa.
Katiba mpya itapatikana mpende msipende kama mlivyokubali kuupitisha mfumo wa vyama vingi vya siasa hapa nchini.Tulia, katiba itatumika uchumi ukitengemaa, hivi sasa hatuhitaji katiba.
Kama mimi zuzu wewe utakuwa nani kwa kuwa hujitambui ila kushabikia watu na matukio badala ya masualaZuzu mwingine huyu hapa.
Wewe siku zote sijui kwanini huwa hauzishirikishi akili zako kabla ya kuanza kuandika mchamgo wako hapa jamvini.Wakulaumiwa ni Viongozi wa Upinzani kwa kutumia Jukwaa la siasa, wakati wa kampeni ya Uchaguzi Mkuu 2020, kumtukana hayati Magufuli badala ya kunadi Ilani zao za Uchaguzi zilizokuwa zimesheheni Sera mbadala za maendeleo na mikakati ya utekelezaji.
Kwenye kampeni hiyo upinzani ulishindana na kivuli cha Magufuli badala ya udhaifu wa Ilani za Uchaguzi za CCM na utekelezaji wake. Na bado kivuli hicho kinaendelea kutesa upinzani
Kwa jinsi Upinzani ulivyovuna ulichopanda 2020 ndivyo hivyo utavuna 2025 kama staili yao ya kuendesha siasa haubadiliki.
Tunahitaji upinzani wenye maslahi mapana ya Taifa na siyo maslahi ya viongozi wake kuingia madarakani. Viongozi watangulize UTAIFA (elimu, afya, maji, nishati, kulinda maliasili kwa faida ya nchi, uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa, nk) badala ya UMIMI (umaarufu, cheo, madaraka, nk)
Jf ni sehwmu maalum kabisa kwa watu kuonyesha hisia zao na kuchangia wanacho kiona kinafaa.Nchi ishakuwa ngumu mkuu pambania maisha yako tu
Yaani kila linalogusa kushauri upinzani, humu JF, linapata matusi au/na kejeli, kutoka kwa wafuasi, du!Huyo ni zaidi ya zuzu tulisha mdharau kitambo maana hana tofauti na kipara kipya na Wakudadavua