Kama ccm imetawala mika 60 na hakuna kitu mlicho kifanya unadhani nani ana safari ndefu kuyafikia mafanikio?Yaani kila linalogusa kushauri upinzani, humu JF, linapata matusi au/na kejeli, kutoka kwa wafuasi, du!
Kwa mwenendo wenu huo kifkira, ni dhahiri upinzani una safari ndefu kufikia malengo yake.
Mtazamo wangu wa masuala mbali mbali uko maili elfu mbele yakoWewe siku zote sijui kwanini huwa hauzishirikishi akili zako kabla ya kuanza kuandika mchamgo wako hapa jamvini.
Hata ungekuwa maili milioni zaidi yangu lkn kama hauna mantiki ni sawa na bureeeeeMtazamo wangu wa masuala mbali mbali uko maili elfu mbele yako
Kama vyama kinzani havikupata viti na akidi ya kutosha ya kura kukidhi hio haja inakuaje na sheria inasemaje? Je hao Utopola Covida19 uwepo wao unakidhi vigezo vya kuunda KUB kikanuni?Wadau Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi vya siasa
Kwa Mujibu wa Katiba iliyopo BUNGE lazima liwe na KAMBI RASMI ya UPINZANI,MKUU wa Kambi,MNADHIMI MKUU na MAWAZIRI Vivuli.
Tumeshuhudia BUNGE lililopo halina Kambi Rasmi ya UpinzanI,
Halina kiongozi wa hiyo KAMBI
Halina MNADHIMU MKUU
Halina MAWAZIRI Vivuli
Halina HOTUBA ya KAMBI ya UPINZANI
Halina HOTUBA za MAWAZIRI Vivuli sana sana tumeshuhudia lina WABUNGE 19 Ambao hawana CHAMA baada ya kufukuzwa na chama chao
Hayo ni MAAJABU ya BUNGE na SERIKALI inayojinasibu kufuata UTAWALA wa SHERIA
Hiyo ndio NCHI Yetu
Mhuu, hii ni issue kubwa, kurekebisha pia ni ngumu mzizi wake umeanjia mbali tokea uchaguzi uliopita. CCM walikaba hadi penalt na kujisahau wanahitaji hivi vitu. Marekebisho ni magumu.Wadau Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi vya siasa
Kwa Mujibu wa Katiba iliyopo BUNGE lazima liwe na KAMBI RASMI ya UPINZANI,MKUU wa Kambi,MNADHIMI MKUU na MAWAZIRI Vivuli.
Tumeshuhudia BUNGE lililopo halina Kambi Rasmi ya UpinzanI,
Halina kiongozi wa hiyo KAMBI
Halina MNADHIMU MKUU
Halina MAWAZIRI Vivuli
Halina HOTUBA ya KAMBI ya UPINZANI
Halina HOTUBA za MAWAZIRI Vivuli sana sana tumeshuhudia lina WABUNGE 19 Ambao hawana CHAMA baada ya kufukuzwa na chama chao
Hayo ni MAAJABU ya BUNGE na SERIKALI inayojinasibu kufuata UTAWALA wa SHERIA
Hiyo ndio NCHI Yetu
Hii ni moja kati ya comment bora ya siku!Nchi ishakuwa ngumu mkuu pambania maisha yako tu
Kwako wewe mimi ni CCM kwa kuwa tu mawazo yangu kuhusu upinzani hayashabiiani na yako! UPUUZIKama ccm imetawala mika 60 na hakuna kitu mlicho kifanya unadhani nani ana safari ndefu kuyafikia mafanikio?
Matusi ni dalili za kukosa hoja.Kama mimi zuzu wewe utakuwa nani kwa kuwa hujitambui ila kushabikia watu na matukio badala ya masuala
Kama mantiki kwako ni kushabikia mtu, umefanikiwa!Hata ungekuwa maili milioni zaidi yangu lkn kama hauna mantiki ni sawa na bureeeee
Upinzani umefanya kazi mzuri sana tangu huu mfumo wa vyama vingi ulipo lazimishwa kukubalika na ccm .Kwako wewe mimi ni CCM kwa kuwa tu mawazo yangu kuhusu upinzani hayashabiiani na yako! UPUUZI
CCM imetawala miaka 60 hakuna ilichofanya, je, upinzani tangu umeanza nchini, ni lipi la kitaifa umefanya zaidi ya viongozi wake kutafuta njia za mkato kuingia madarakani!!! AIBU
Huna lolote zaidi ya kuramba viatuKama mantiki kwako ni kushabikia mtu, umefanikiwa!
Upinzani umefanya kazi mzuri sana tangu huu mfumo wa vyama vingi ulipo lazimishwa kukubalika na ccm .
Bila upinzani leo hii wananchi tungekuwa tunaishi maisha ya digidigi tu.
Nipo huru hivyo hayo mawazo au ushauri wako peleka kwenu burigiUna hoja kama utafafanua (weka nyama kwenye hiyo hoja ya Bila upinzani leo hii wananchi tungekuwa tunaishi maisha ya digidigi tu)
Nimekupata kuwa umefika mwishoNipo huru hivyo hayo mawazo au ushauri wako peleka kwenu burigi
Kalinde ndege wasumbufu burigiNimekupata kuwa umefika mwisho
Magaidi wako sero hatujawahi kuwa na wapinzani nchi hiiBUNGE halina KAMBI Rasmi ya UPINZANI
BUNGE halina KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya Upinzani
Bunge halina Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani
Bunge halina HOTUBA ya BAJETI ya KAMBI ya Upinzani
Bunge halina MAWAZIRI VIVULI
BUNGE halina HOTUBA za Bajeti za Wizara za Mawaziri Vivuli
BUNGE lina Wabunge Fake 19 Wasio na Udhamini wa CHAMA
Uhalali wa BUNGE UPO WAPI?
Hiyo ndio TANZANIA MPYA
Kuna sehemu amezungumzia uchaguzi?Amka hii ni 2022. Uchaguzi ulipita 2020