Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Kapendekezwa na chama jinanlitapelekwa bungeni kupigiwa kura na bungeni kuke akipata kura kwa aslimia kadhaa ndio ataapishwa sasaMbona kama katiba inakiukwa mchana kweupe?
Ni lini bunge limekaa likampigia kura makamu wa rais mpya likampitisha nasi tukashihudia mchakato mzima?
Halmashauri kuu ya CCM ndio imempitisha na kumchagua si ndio?
Labda mie na uelewa wangu Duni
Isawa
Kuanzia Leo naachana na haya mambo.
Mimi huwa naona wanaofatilia siasa tena za bongo kama hamnazo kabisa.Mbona kama katiba inakiukwa mchana kweupe?
Ni lini bunge limekaa likampigia kura makamu wa rais mpya likampitisha nasi tukashihudia mchakato mzima?
Halmashauri kuu ya CCM ndio imempitisha na kumchagua si ndio?
Labda mie na uelewa wangu Duni
Isawa
Kuanzia Leo naachana na haya mambo.
Nlikuwa mpigania ukweli na hakiKabla ya kuachana na haya mambo ulikua nani kwenye 'haya mambo'?
Ngoja nikomae kuuza maembe huku uswahiliniMimi huwa naona wanaofatilia siasa tena za bingo kama hamnazo kabisa.
Yaani unafatilia kitu ambacho huna control ya aina yoyote, kura hupigi, kuandamana huandamani, ukifanya kuuliza unatekwa..
Sasa ujisumbe iliniweje🤣
View attachment 3657935
Hii Nini mkuu?
Karibu uswahilini wiki ijayo kuna mshkaji wetu anaoa huko mbagala ndani ndani tareserve seat moja kwa ajili yako.Nlikuwa mpigania ukweli na haki
Wahuni wanachosha mkuu.ngoja nipambanie shida zangu huku uswahilini
Wapi huko na msimu wa maembe umeshaisha?Ngoja nikomae kuuza maembe huku uswahilini
Oh kumbe ndio utaratibuKapendekezwa na chama jinanlitapelekwa bungeni kupigiwa kura na bungeni kuke akipata kura kwa aslimia kadhaa ndio ataapishwa sasa
Dongo kwa nani hili?
Jitahidi kujifunza katiba ta nchi kwanza,bila hivyo utaishia kuonekana hujui kituMbona kama katiba inakiukwa mchana kweupe?
Ni lini bunge limekaa likampigia kura makamu wa rais mpya likampitisha nasi tukashihudia mchakato mzima?
Halmashauri kuu ya CCM ndio imempitisha na kumchagua si ndio?
Labda mie na uelewa wangu Duni
Isawa
Kuanzia Leo naachana na haya mambo.
Yapo tele huku😄Wapi huko na msimu wa maembe umeshaisha?
Nipe location naja mieYapo tele huku😄
Sawa mkuu najifunzaJitahidi kujifunza katiba ta nchi kwanza,bila hivyo utaishia kuonekana hujui kitu
Ntatekwa bossNipe location naja mie