Bunge halikushiriki uteuzi wa makamu wa rais?

Bunge letu ni kama rubber stamp tu, kazi yao ni kugonga muhuri kile ambacho chama kimeshaamua kule Green Room.
Yani mtu na akili zake kabisa anaamini pale utaratibu umefatwa eti bunge litakaa kupiga kura wakati watu washajiamulia.
Wanaamini kabisa ni fair kabisa?
Hata Hilo bunge lenyewe la kupiga kura lote ni batili
Bunge lote ni batili
Hakuna kitu
 
Rais anapendekeza anayemtaka, kisha chama chake kinaridhia kwa kura ya ndiyo au hapana, baadaye jina linapelekwa Bungeni, akipata kura za wabunge walio wengi anaenda kuapishwa.
Hivyo nafasi ya kupigiwa kura Bunge haijafika, kwa hiyo hawezi kuapishwa mpaka mchakato huo ukamilike.
 
Nimeona na vyomba vya habari wakimuandika kwa kuanza na Dr wakati juzi tu walikua wanamuansika kwa kuanza na Balozi....🤣
Watu washajiamulia mambo zamani
Katiba iliyupa 14 maana ni mchakato mrefu na wa uwazi
Ila wahuni wanamaliza koridoni

Bunge lenyewe hata wakipiga kura bado ni yaleyale
 
Rais anapendekeza anayemtaka, kisha chama chake kinaridhia kwa kura ya ndiyo au hapana, baadaye jina linapelekwa Bungeni, akipata kura za wabunge walio wengi anaenda kuapishwa.
Hivyo nafasi ya kupigiwa kura Bunge haijafika, kwa hiyo hawezi kuapishwa mpaka mchakato huo ukamilike.
Kinacho endelea mtandaoni ni kama bunge lilisha fanya kazi yake.
 
Rais anapendekeza anayemtaka, kisha chama chake kinaridhia kwa kura ya ndiyo au hapana, baadaye jina linapelekwa Bungeni, akipata kura za wabunge walio wengi anaenda kuapishwa.
Hivyo nafasi ya kupigiwa kura Bunge haijafika, kwa hiyo hawezi kuapishwa mpaka mchakato huo ukamilike.
Unaamini mchakato huo wote ni WA haki?
Lile bunge ni halali kupitiaha kura
Nikisema katiba imebakwa muda mrefu elewa.
Ingekuwa sawa kama like bunge lingekuwa halali

Hata bila Hilo bunge kupiga kura inajulikana tayari kashapita

Kwisha habari yetu
 
Mbona kama katiba inakiukwa mchana kweupe?
Ni lini bunge limekaa likampigia kura makamu wa rais mpya likampitisha nasi tukashihudia mchakato mzima?
Halmashauri kuu ya CCM ndio imempitisha na kumchagua si ndio?
Labda mie na uelewa wangu Duni
Isawa
Kuanzia Leo naachana na haya mambo.
Bora uje tuanzishe mambo yetu,

Kiufupi walijichagua wakajiapisha kwenye kambi ya jeshi, wakakosana, wakaachana, wakaenda mbali na mtu akavuliwa uanachama, na ameteuana tena, ni bora ulivyoamua kuwaachia mambo yao
 
Una uelewa duni sana wewe. Bunge linapigia kura litakalopendekezwa na Rais. Hatua ya kwanza ndo hiyo imefanyika. Kinachofuata ni bunge kupitisha.
 
Bunge ndio lenye kauli ya mwisho.
Bunge lenyewe pia ni batili CCM watupu halina kauli
Tayari inajulikana hata bila mchakato kashapita

Bunge lilikuwepo enzi wakina lissu na lowassa humo sio hili
 
Una uelewa duni sana wewe. Bunge linapigia kura litakalopendekezwa na Rais. Hatua ya kwanza ndo hiyo imefanyika. Kinachofuata ni bunge kupitisha.
Sawa bunge litampigia kura na kumpitisha,ikiwa mchakato utafikia muda wake
Lakini Kuna hoja ndani yake ipo vile vile ya katiba kukiukwa
Ni nani pale bungeni mwenye guts ya kusema hapana?
Kura ya hapana Ile halisi kabisa?
Hakuna,wale wote ni batili kutokana na ule uchaguzi mkuu

Hongera Kwa kumpata makamo mpya hata kabla ya utaratibu kukamilika
 
Kwa mtazamo wangu naona yupo sahihi kuhoji,kinacho endelea mitandaoni utadhani tayari amepitishwa na bunge.
Vipi bunge likimkataa?
Au CCM ikiteua bunge halina uwezo kupinga!
Ahsante mleta mada Sister Abigail l
Mkuu kwa namna mambo yanavyoenda sioni namna ya uteuzi huo kupingwa bungeni.
Mchakato umeanzia kwa rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa chama, umeenda kwenye Halmashauri kuu ya chama kisha unapelekwa kwa spika ambaye n zao la chama hicho hicho na kuna katibu wa wabunge wa CCM ambaye ana jukumu la kusimamia mipango ya chama chake bungeni.
Sijui itakuwaje mpaka bunge lipige kura ya hapana kwa mh Ndejembi.
 
Sawa bunge litampigia kura na kumpitisha,ikiwa mchakato utafikia muda wake
Lakini Kuna hoja ndani yake ipo vile vile ya katiba kukiukwa
Ni nani pale bungeni mwenye guts ya kusema hapana?
Kura ya hapana Ile halisi kabisa?
Hakuna,wale wote ni batili kutokana na ule uchaguzi mkuu

Hongera Kwa kumpata makamo mpya hata kabla ya utaratibu kukamilika
Kwanini unalazimisha kila mtu ajue ujinga wako?
 
Bora uje tuanzishe mambo yetu,

Kiufupi walijichagua wakajiapisha kwenye kambi ya jeshi, wakakosana, wakaachana, wakaenda mbali na mtu akavuliwa uanachama, na ameteuana tena, ni bora ulivyoamua kuwaachia mambo yao
Mi haya mambo siyawezi mkuu
 
Back
Top Bottom