Bunge halikushiriki uteuzi wa makamu wa rais?

Bunge halikushiriki uteuzi wa makamu wa rais?

Unaamini mchakato huo wote ni WA haki?
Lile bunge ni halali kupitiaha kura
Nikisema katiba imebakwa muda mrefu elewa.
Ingekuwa sawa kama like bunge lingekuwa halali

Hata bila Hilo bunge kupiga kura inajulikana tayari kashapita

Kwisha habari yetu
Mkuu Swali lako linataka kujua kama hiki kinachoendelea Katiba imezingatiwa au laa.
Nimekujibu kwa namna Katiba inavyo taka.
Lakini kama bunge ni halali au haramu kwakweli hilo silijui.
 
Yani mtu na akili zake kabisa anaamini pale utaratibu umefatwa eti bunge litakaa kupiga kura wakati watu washajiamulia.
Wanaamini kabisa ni fair kabisa?
Hata Hilo bunge lenyewe la kupiga kura lote ni batili
Bunge lote ni batili
Hakuna kitu
Bunge limebaki kuwa sehemu ya kupitisha vyeo vya watu. Hakuna cha democracy wala nini!
 
Mkuu Swali lako linataka kujua kama hiki kinachoendelea Katiba imezingatiwa au laa.
Nimekujibu kwa namna Katiba inavyo taka.
Lakini kama bunge ni halali au haramu kwakweli hilo silijui.
Mkuu hujui kama bunge ni halali au Haram?
Sawa
 
Mbona kama katiba inakiukwa mchana kweupe?
Ni lini bunge limekaa likampigia kura makamu wa rais mpya likampitisha nasi tukashihudia mchakato mzima?
Halmashauri kuu ya CCM ndio imempitisha na kumchagua si ndio?
Labda mie na uelewa wangu Duni
Na hata kama atapigiwa kura na bunge na kupitishwa bado bunge ni batili kutokana na uchaguzi wa Oct 29!

Kuanzia Leo naachana na haya mambo.
Umejichanganya, km hulitambui bunge ni bunge lipi tena limpitishe? Mlikimbia uchaguzi ila nchi haiwezi kusimama, uchaguzi ulifanyika tuna viongozi wote tukianzia na Rais. Hakuna jipya nyie nyumbu kulalamika ni maisha yenu.
 
Mbona kama katiba inakiukwa mchana kweupe?
Ni lini bunge limekaa likampigia kura makamu wa rais mpya likampitisha nasi tukashihudia mchakato mzima?
Halmashauri kuu ya CCM ndio imempitisha na kumchagua si ndio?
Labda mie na uelewa wangu Duni
Na hata kama atapigiwa kura na bunge na kupitishwa bado bunge ni batili kutokana na uchaguzi wa Oct 29!

Kuanzia Leo naachana na haya mambo.
Kwani ashaapishwa hadi useme hajapigiwa kura na bunge? Mchakato bado na kwa kuwa vikao vimeanza jana jina litapelekwa na kama kawaida ya bunge letu atapata 101%
 
Back
Top Bottom