ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Yes wakupinga hayupoNdio kapendkezwa na chama.
Lakini ndio ishapita hivyo
Akipenda bungeni pale hamna bunge
Nani wa kumwambia hapana
Kashapita
Hakuna haki upande wowote
Mkuu Swali lako linataka kujua kama hiki kinachoendelea Katiba imezingatiwa au laa.Unaamini mchakato huo wote ni WA haki?
Lile bunge ni halali kupitiaha kura
Nikisema katiba imebakwa muda mrefu elewa.
Ingekuwa sawa kama like bunge lingekuwa halali
Hata bila Hilo bunge kupiga kura inajulikana tayari kashapita
Kwisha habari yetu
Bunge limebaki kuwa sehemu ya kupitisha vyeo vya watu. Hakuna cha democracy wala nini!Yani mtu na akili zake kabisa anaamini pale utaratibu umefatwa eti bunge litakaa kupiga kura wakati watu washajiamulia.
Wanaamini kabisa ni fair kabisa?
Hata Hilo bunge lenyewe la kupiga kura lote ni batili
Bunge lote ni batili
Hakuna kitu
Sijmlazimisha mtuKwanini unalazimisha kila mtu ajue ujinga wako?
Mkuu hujui kama bunge ni halali au Haram?Mkuu Swali lako linataka kujua kama hiki kinachoendelea Katiba imezingatiwa au laa.
Nimekujibu kwa namna Katiba inavyo taka.
Lakini kama bunge ni halali au haramu kwakweli hilo silijui.
Mimi nachukia Kila nkiona haya mamboYes wakupinga hayupo
Ila dear bado ulikua na matumaini kiasi hicho 😢
Na ndivyo itakavyokuwa.Hakuna wa kupinga.
Kwa akili za ccm watampigia kura zote ili wamkomoe nchimbi
Niambie uharamu wa bunge hili ni upi?Mkuu hujui kama bunge ni halali au Haram?
Sawa
Pole kila mpenda haki anachukizwaMimi nachukia Kila nkiona haya mambo
Uonevu Kwa lissu ndio kabisa
Naachana nayo
Umejichanganya, km hulitambui bunge ni bunge lipi tena limpitishe? Mlikimbia uchaguzi ila nchi haiwezi kusimama, uchaguzi ulifanyika tuna viongozi wote tukianzia na Rais. Hakuna jipya nyie nyumbu kulalamika ni maisha yenu.Mbona kama katiba inakiukwa mchana kweupe?
Ni lini bunge limekaa likampigia kura makamu wa rais mpya likampitisha nasi tukashihudia mchakato mzima?
Halmashauri kuu ya CCM ndio imempitisha na kumchagua si ndio?
Labda mie na uelewa wangu Duni
Na hata kama atapigiwa kura na bunge na kupitishwa bado bunge ni batili kutokana na uchaguzi wa Oct 29!
Kuanzia Leo naachana na haya mambo.
Kwani ashaapishwa hadi useme hajapigiwa kura na bunge? Mchakato bado na kwa kuwa vikao vimeanza jana jina litapelekwa na kama kawaida ya bunge letu atapata 101%Mbona kama katiba inakiukwa mchana kweupe?
Ni lini bunge limekaa likampigia kura makamu wa rais mpya likampitisha nasi tukashihudia mchakato mzima?
Halmashauri kuu ya CCM ndio imempitisha na kumchagua si ndio?
Labda mie na uelewa wangu Duni
Na hata kama atapigiwa kura na bunge na kupitishwa bado bunge ni batili kutokana na uchaguzi wa Oct 29!
Kuanzia Leo naachana na haya mambo.
Hapo apige Hela tu.ila hakuna Cha maana kwenye hicho cheo.Na ndivyo itakavyokuwa.
Na hata wasipopitisha bungeni tayari inajulikana kashapita
Na akizingua anaenda kama mwenzieHapo apige Hela tu.ila hakuna Cha maana kwenye hicho cheo.
ChamsDongo kwa nani hili?