Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nawaonea huruma WatanganyikaAisee we jamaa umewaza kwa akili sana
Lile sio bunge ni usanii mtupu na bahati mbaya kila mtu anaona ila tunafanyana wajinga tu
Livunjwe na wakamatwe kwa uhujumu uchumiKatika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge . Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika.
Hawa wamachinga na bodaboda wanaoahindia mihogo na wali wa buku ndio wahanga.
Majukumu ya wabunge wapewe wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya..
Eti mbunge ili aanze kutoa hoja anamsifu kwanza Rais ndo anaanza kutoa hoja πππ.
Waswekwe ndaniLivunjwe na wakamatwe kwa uhujumu uchumi
Hahaha "KUSWEKWA NDANI"Waswekwe ndani
Hapana wakurungezi ni wabovu zaidiNaunga mkoja HOJA ....watiwe Korokoroni!!!
Wakurugenzi wachukuwe uwakilishi wao huko MAJIMBONI
SureWaswekwe ndani
Ndio waswekwe ndani kabisaHahaha "KUSWEKWA NDANI"
Mkuu uko sahihi sana, lakini hata hao wakarugenzi wanasifia hivyo hivyo. Kwa hii katiba ambayo Rais ndio Kila kitu , Kila mmoja lazima asifie tuKatika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika.
Hawa wamachinga na bodaboda wanaoahindia mihogo na wali wa buku ndio wahanga.
Majukumu ya wabunge wapewe wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya.
Eti mbunge ili aanze kutoa hoja anamsifu kwanza Rais ndo anaanza kutoa hoja πππ.
Rais akisifiwa unaumiaaa πKatika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika.
Hawa wamachinga na bodaboda wanaoahindia mihogo na wali wa buku ndio wahanga.
Majukumu ya wabunge wapewe wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya.
Eti mbunge ili aanze kutoa hoja anamsifu kwanza Rais ndo anaanza kutoa hoja πππ.
Aiseee kweli uchawi upo.Rais akisifiwa unaumiaaa π
mihogo ni chakula muhimu na bora sana kinachobezwa na wasio jua faida zake mwilini, Lakini pia wali wa buku ni chakula kizuri na cha kutosha kulingana na mahitaji na mapenzi ya mlaji, kuna ugali wa buku vilevile π
Bunge Imara, Makini na tukufu la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, litaendelea kutekeleza wajibu na majukumu yake kikamilifu kwa uwazi, weledi na umakini mkubwa kulingana na kanuni, taratibu, sheria na katiba ya nchi, na kwa maslahi mapema ya waTanzania wote π
Una kitu usikilizweKatika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika.
Hawa wamachinga na bodaboda wanaoahindia mihogo na wali wa buku ndio wahanga.
Majukumu ya wabunge wapewe wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya.
Eti mbunge ili aanze kutoa hoja anamsifu kwanza Rais ndo anaanza kutoa hoja πππ.
Inasikitisha sana, bunge linalokingia maovu Mhimili mwingine lina sababu gani ya kuwepo?Aiseee kweli uchawi upo.
How come kijana na akili zake timamu akasifia bunge linalousifu muhimili mwingine wa serikali!!!
Angalau itapunguza matumizi na fujoMkuu uko sahihi sana, lakini hata hao wakarugenzi wanasifia hivyo hivyo. Kwa hii katiba ambayo Rais ndio Kila kitu , Kila mmoja lazima asifie tu
Wadanganyika wengi ni hovyo sana!!!Nawaonea huruma Watanganyika