Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?

Huyo ni popoma anatafuta udc mjini njaa kali
"Nashangaa napokea vimeseji vingine, Mhe rais nimejitahidi katika kipindi changu, kana kwamba kipindi chake nilimwambia kinaisha baada ya mimi kuapishwa, niliona hili nilizungumze wakuu wa mikoa wakuu wa wilaya msiwe na wasiwasi, na inawezekana wala yasitokee mabadiliko."JPM

#DodomaKiapo
 
Mtu anayejiona kiakili yuko sawa lakini anapoandika ni robo ujinga na robo tatu upumbavu.Malengo ya kuwa nchi ya chama kimoja yamefikiwa.Paskali huna maslahi wala uchungu na Tz bali CCM na tumbo lako.kaa kimya ,kama mwandishi wa habari wewe ni liability kwa taifa.
 
Wakati wanaiba kura walijiona wana akili nyingi, sasa wameachiwa wabaki wenyewe wameanza kuweweseka, wapumbavu sana hawa watu.
 
Lengo litakua lile lile, kuhalalisha haramu na kuharamisha halali! Mawazo yako, pamoja na kwamba ni mazuri, ulipaswa kuyawaza October mwanzoni! Umekumbuka shuka kumekucha, supika atamiss kuwatimua watu bungeni au kuwafungia vikao 9! Labda akuite Wewe tu, kama hataona hii ? alam kwenye haya mabandiko yako!
 
Wanaweza kupata wabunge wa upinzani kwa kubatilisha matokeo ya maeneo yote ambako mapungufu yako dhahiri. Maeneo ambayo wagombea wa vyama vya upinzani walitiwa ndani ili wasiwasilishe fomu zao za kugombea, sehemu ambazo wakurugenzi waliwazuia wapinzani kwa kuwazuia "physically", kutokuwepo walipopaswa, kufoji sahihi n.k. Matokeo kutoka kwenye vituo ambayo hayana mashiko nayo yafutwe. K.m. hesabu za wapiga kura ni zaidi ya waliondiakisha n.k. Matokeo kwenye vituo ambayo mawakala wa vyama rafiki hawakuwepo nayo yabatilishwe. Aidha wasimamizi wa vituo vyote ambavyo matokeo yake yatabatilishwa wachukuliwe hatua za kitendaji na kisheria. Hii itatuma ujumbe utafika kwa wasimamizi na uchaguzi wa marudio utakuwa wa haki na uwazi. Aidha wale wote ambao walihusika kwa namna moja au nyingine kuwadhalilisha wagombea na kuwafanyia fujo, nao wachukuliwe hatua.

Amandla...
 
Well said!

Hao waliopanga kupata ushindi wa 100% wana akili kuliko huyo Mayalla!
 
Ambayo ni 85% ya vituo
 
Mwnyekiti alishasema wananchi wasimchanganyie magunzi na betri. Kwa halili na haramu, amefanikiwa kupata alichotaka.

Sasa unasema baada ya kufanikiwa kupata alichotaka, aweke magunzi badala ya betri kwenye toach .............!!?
 
Ni sahihi Magufuli katurudisha, mwaka 1995, ni kweli upinzan umekufa kutakwimu japo kiuhalisia bado upo, tena upo sana na ni kweli kwamba bado tunahitaji siasa za ushindani. Lakini kwa tulipofikia, mapendekezo yako ili kufufua upinzan sio sahihi, na hayapaswi kutekelezwa na Magufuli na hata yakitekekezwa hayapaswi kuungwa mkono na wapinzan wa kweli ,.kwani kutekeleza kwake kutapelekea consequences mbaya ambazo zitachukua muda mrefu kuturudisha tulipokuwa mwaka 2015. Kwa sababu itasababisha, 1; tutakuwa tumekubaliana kwamba upinzan kuwepo sio kusheria bali huruma za Rais aliyeko madarakani 2; tutakuwa na upinzan usio independent 3; tunaenda kuuwa kabisa dhana ya upinzan nchini. Sasa nini kifanyike, ni lazima wapinzan wakae nje ya bunge kwa kipindi hiki, ili upinzan uje urudi kwa namna isiyo ya kuonewa huruma, moja ya faida ambayo tutaishihudia na kuipata ni...1; baada ya miaka hii mitano, itatuwezesha kufanya analysis nzuri ya nini kikubwa kimefanyika bila upinzan ? 2; tutapata jibu ni sahihi upinzan ndio ulikuwa unakwamisha maendeleo kama asemavyo Magufuli ?

all in all, time will tell hata Magufuli ajiapize vipi, hakuna maajabu yoyote atakayo fanya ili yaprove upinzan ulikuwa kikwazo cha maendeleo, kwani kweny kila sector inajulikana hali ilivyo mbaya kibiashara. Kama CCM hawajaleta maendeleo within 60 years since independence, hakuna maendeleo ya miaka 5 na yaka prove hasara za upinzan Tanzania. Let wait !
 
Siyo tu amejaribu bali amepambana.Mwenye kujua maana ya kada anisaidie Tafadhali.
 
Mpinzani ateuliwe ili akampinge Boss Wake,Au Mpinzani avue Upinzani halisi avae Upinzani kasuku ili kunusuru KUB bungeni,dah...haya maigizo aise


Hakuna uhalisia hapo ila kuwahada watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…