Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Asante mkuuKaribu sana Jukwaa la Siasa, hapa kwangu ni kama sebuleni kwangu.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuKaribu sana Jukwaa la Siasa, hapa kwangu ni kama sebuleni kwangu.
P
"Nashangaa napokea vimeseji vingine, Mhe rais nimejitahidi katika kipindi changu, kana kwamba kipindi chake nilimwambia kinaisha baada ya mimi kuapishwa, niliona hili nilizungumze wakuu wa mikoa wakuu wa wilaya msiwe na wasiwasi, na inawezekana wala yasitokee mabadiliko."JPMHuyo ni popoma anatafuta udc mjini njaa kali
Mtu anayejiona kiakili yuko sawa lakini anapoandika ni robo ujinga na robo tatu upumbavu.Malengo ya kuwa nchi ya chama kimoja yamefikiwa.Paskali huna maslahi wala uchungu na Tz bali CCM na tumbo lako.kaa kimya ,kama mwandishi wa habari wewe ni liability kwa taifa.Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali, Bunge letu jipya linalokwenda kuundwa hivi karibuni baada ya uchaguzi Mkuu, lina hali mbaya sana ya kuwa liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni.
Swali ni Jee NEC, Rais Dr. Mwinyi na Rais Dr. Magufuli wataingia huruma na kuokoa jahazi kwa kuliokoa Bunge letu la JMT ili liweze kuwa na kambi rasmi ya upinzani Bungeni?.
Declaration of Interest
Japo mimi ni kada wa chama cha siasa, na uchaguzi umekwisha, sasa narejea kwenye zile safu zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo zinatanguliza uzalendo kwa maslahi ya taifa letu Tanzania, hivyo nakuomba unisome with clear conscious kama mnamsoma Mtanzania mwingine yoyote, lakini kama tayari umeisha ni lebo mimi ni kada na kujiambia kila ninachoandika ni kwa maslahi ya chama changu na sio maslahi ya taifa, nakushauri uishie hapa, maana hata ukiendelea kunisoma with pre conceived opinion, hautaweza kuiona rationale ya bandiko hili.
Na kwa vile hili ndilo bandiko langu la kwanza Jukwaa la Siasa baada ya Uchaguzi, naomba kuchukua fursa hii kumpongeza Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa ushindi wa kishindo, nakipongeza Chama changu CCM, na kupongeza wote waliodhinda.
Japo ni lengo la kila mwana CCM, kuona chama chake kinashinda viti vyote na kata zote, ila pia kuna baadhi ya wana CCM, ambao ni makada wazalendo zaidi, wamefurahishwa na ushindi wa kishindo wa CCM, ila pia ni wazalendo zaidi kwa nchi kuliko chama, tungependa kuona wapinzani makini wachache wakiingia Bungeni ili kujenga ile dhana ya Bunge la vyama vingi. Hivyo kushindwa kwa mtu kama Zitto ni masikitiko kwa wana CCM wazalendo wengi wa type yangu!. Tunapenda Bunge la CCM, lakini pia lenye mwamko na msisimko wa challenges za upinzani.
Hivyo kwenye kushangilia ushindi, nawasihi viongozi wetu na wana CCM wazalendo wenzangu, tushangilie kwa kiasi, tusiwatambie upinzani, tusiwakejeli, kuwatukana wala kuwabeza, kwasababu nao ni Watanzania wenzetu na wamechaguliwa na Watanzania, ila kura zao hazikutosha, hivyo kwenye hotuba zetu, tupunguze kujimwambafy na badala yake tuongeze humility na kuhutubia hotuba za upendo ku heal na sio za ku hurts ili kuliponya taifa na machungu ya kushindwa na kuliunganisha taifa tuwe na upendo, umoja, mshikamano na ushirikiano kuijenga nchi yetu.
Wapinzani
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, uchaguzi umekwisha, aliyeshinda ameshinda kwa haki na kihalali, aliyeshindwa ameshindwa kwa haki na kihalali, kwa kutumia kanuni ya " the end justifies the means", tukubali matokeo, kazi sasa ibaki ni moja tuu, kuijenga nchi yetu kwa kutoa kila aina ya ushirikiano kwa washindi.
Vitabu vya dini zote vinafundisha Wananchi kutii mamlaka halali. Baada ya uchaguzi kumalizika na rais kupatikana na kuapishwa, kile kitendo cha kuapishwa ni kumhalalisha rasmi hivyo baada ya rais Magufuli kuapishwa, sasa yeye ni mamlaka halali, ndiye rais wa JMT, ni rais wa Watanzania wote, waliomchagua, wasio mchagua, hata ambao hawakupiga kura, rais Magufuli ndiye rais wa nchi, tutii mamlaka halali.
Baada ya kuapishwa na kuanza kazi, hakuna kitu kinachoitwa kususa, kutokubali matokeo au kutomtambua rais, huko ni kujifurahisha tuu, kwa sababu tayari rais yupo na ana exist, umtambue, usimtambue, yeye ndio rais wako na yupo kwa ajili yako. Unaweza usimpende, unaweza usimkubali, lakini huwezi kutomtambua!. Hivyo viongozi wa upinzani acheni hadaa za kuwahadaa wafuasi wenu kuwa hamumtambui rais. Rais ni mtu mwenye status of duality.
1. Rais Magufuli ni mtu, ni binadamu, unaweza usimpende, usimkubali na ukakataa kutambua ushindi wake, that is human, kama humpendi mtu, hakuna anayeweza kukulazimisha umpende au umkubali, hilo una uhuru nalo.
2. Rais Magufuli ni Taasisi ya urais, president institution, hii ni mamlaka, hakuna choice ya kuipenda, kuikubali au kuitambua, ipo kisheria hivyo ni lazima uiheshimu, na kuitii mamlaka hii, it's not a matter of choice, its an obligation, ni lazima kuitii mamlaka na usipotii, mamlaka inakushughulikia, ndio maana hata sheria, kutokujua jambo fulani ni kosa kisheria, is not an excuse sheria isi act on you, hivyo hakuna kitu kinachoitwa kutokumtambua rais.
Huo ulikuwa ni utangulizi tuu kuwekana sawa, mada ya leo ni hii.
Kufuatia poor performance ya vyama vya upinzani kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, kwa Watanzania kuvikataa na badala yake kukichagua CCM pekee, but 4!, idadi hiyo haiwezi kutimiza akidi inayotakiwa kuweza kuunda kambi rasmi ya upinzani Bungeni.
Ibara ya 14 ya Kanuni za Bunge zinaeleza
2) Wabunge wote wa Upinzani wanaweza kuunda Kambi Rasmi ya Upinzani iwapo idadi yao itakuwa si chini ya asilimia kumi na mbili na nusu ya Wabunge wote.
(3) Chama cha Upinzani hakitakuwa na haki ya kuchagua Kiongozi wa Upinzani Bungeni, isipokuwa tu kama kina idadi ya Wabunge wasiopungua asilimia kumi na mbili na nusu ya Wabunge wote.
Idadi ya Wabunge wote wa Bunge la JMT ni 357, hivyo asilimia 12.5% ni wabunge 44.
Kwa matokeo ya uchaguzi huu, hata baada ya allocation ya wabunge wa viti maalum, idadi hiyo haiwezi kufikiwa, hivyo Bunge lijalo, lina hati hati ya kutokuwa na kambi ya upinzani Bungeni, kambi hii ikikosekana, maana yake, hakutakuwa na serikali kivuli, hivyo bajeti za serikali tuu zitawasilishwa bila maoni ya kambi ya upinzani, jambo ambalo is not healthy kwa Bunge la vyama vingi.
Watu watatu pekee wenye uwezo wa kuokoa jahazi hili, ni
1. Tume ya Taifa ya Uchaguzi, ikubali kutoa nafasi ya upendeleo kwa viti maalum vya upinzani hata kama hawakukidhi vingezo.
Mfano, maadam sifa ya kupata viti maalum ni chama kupata asilimia 10 ya kura zote, then Tume inaweza kuamua, wale wagombea urais wote waliopata kura zaidi ya asilimia 10%, wote waingie Bungeni.
2. Rais wa Zanzibar, anazo nafasi 10 za uteuzi wa wawakilishi, katika nafasi hizo zote 10, ateue wawakilishi 10 wa vyama vya upinzani, kati ya hao 10, wawakilishi 5, waingie kwenye GNU, na wawakilishi 5 waingie kwenye Bunge la JMT toka Baraza la Wawakilishi. This is a very big sacrifice to make.
3. Rais wa JMT, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, na yeye ana nafasi zake za uteuzi wa wabunge 10. Usually lengo la uteuzi huu ni ili rais aweze kupata watu wa kutosha kumsaidia, kwa kuwa mawaziri, lakini kwa line up ya walioshinda CCM, kuna line up ya kushibisha mawaziri wote, na bado akabakiwa na reserve team inayoweza kuunda Baraza la Mawaziri la akiba.
Hivyo kama rais Magufuli akiingia huruma, akaamua kuliokoa Bunge letu tukufu, then na yeye ateue angalau wabunge 6 wa upinzani kuingia Bungeni kwenda kuimarisha upinzani, na rais Magufuli anaweza kuitumia kete hii kupiga ndege wawili kwa jiwe moja.
1. Kuuokoa Upinzani 2. To heal the nation from the election wounds ambazo to some ni very painful na kuna watu wako very bitter!.
Kwa ushauri wangu, napendekeza rais Magufuli awateue hawa wafuatao
1. Tundu Lissu- aligombea nae
2. Zitto Kabwe - Most Interactive MP
3. James Mbatia- Very Compromising
4. Prof Haruna Lipumba - Good Puppeteer
5. JJ.MNYIKA- Mjengaji hoja mzuri
Nafasi tano zilizobaki ni za wanawake, tunamuomba Magufuli amuangazie yule Queen Sendiga miongoni mwa wanawake hao.
Hili likifanyika, litatibu makovu ya uchaguzi Mkuu huu, na kuingiza vichwa vya upinzani ambavyo vitalichangamsha Bunge letu na kuliongezea msisimko.
Hili lusipofanyika, Bunge la chama kimoja, bila any challenges, japo litaharakisha maendeleo bila upinzani, litakosa msisimko na lita bore!.
Kwa kumalizia, namalizia kwa lile swali la msingi, kuwa Bunge jipya lina hali mbaya liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kambi rasmi ya upinzani Bungeni.
Swali ni Jee NEC, Rais Dr. Mwinyi na Rais Dr. Magufuli wataingia huruma kuliokoa Bunge letu la JMT ili liweze kuwa na kambi rasmi ya upinzani Bungeni?.
Jibu la swali hili, litapatikana ndani ya kipindi cha wiki moja kuanzia Jumatatu Ijayo.
Nawatakia Jumamosi Njema
Paskali
Rejea za Bunge la Chama Kimoja
Uchaguzi 2020 - Japo ni mchungu 'Kumesa' lakini ndio ukweli wenyewe; watakaorudi Bungeni ni 'wa kijani', kubali kataa. Mwenye masikio na asikie!
Wanabodi, "Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' " Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!. Japo maneno haya ni maneno machungu kumeza, kwasababu Tanzania ni ya Watanzania wote na siyo ya 'wakijani' tuu...www.jamiiforums.com
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
Wanabodi, nimeishawahi kusema sana humu, na sasa narudia tena, kuwa "Kauli Huumba". Kauli ya uongo ukisemwa sana, na kuachwa na kurudiwa rudiwa, bila kukanushwa, sio kuwa uongo huo unaweza kuonekana kama ni ukweli, bali uongo huo unaweza kabisa kugeuka kuwa kweli, kwa sababu kauli nyingine zina...www.jamiiforums.com
Wakati wanaiba kura walijiona wana akili nyingi, sasa wameachiwa wabaki wenyewe wameanza kuweweseka, wapumbavu sana hawa watu.Mtu anayejiona kiakili yuko sawa lakini anapoandika ni robo ujinga na robo tatu upumbavu.Malengo ya kuwa nchi ya chama kimoja yamefikiwa.Paskali huna maslahi wala uchungu na Tz bali CCM na tumbo lako.kaa kimya ,kama mwandishi wa habari wewe ni liability kwa taifa.
Wanaweza kupata wabunge wa upinzani kwa kubatilisha matokeo ya maeneo yote ambako mapungufu yako dhahiri. Maeneo ambayo wagombea wa vyama vya upinzani walitiwa ndani ili wasiwasilishe fomu zao za kugombea, sehemu ambazo wakurugenzi waliwazuia wapinzani kwa kuwazuia "physically", kutokuwepo walipopaswa, kufoji sahihi n.k. Matokeo kutoka kwenye vituo ambayo hayana mashiko nayo yafutwe. K.m. hesabu za wapiga kura ni zaidi ya waliondiakisha n.k. Matokeo kwenye vituo ambayo mawakala wa vyama rafiki hawakuwepo nayo yabatilishwe. Aidha wasimamizi wa vituo vyote ambavyo matokeo yake yatabatilishwa wachukuliwe hatua za kitendaji na kisheria. Hii itatuma ujumbe utafika kwa wasimamizi na uchaguzi wa marudio utakuwa wa haki na uwazi. Aidha wale wote ambao walihusika kwa namna moja au nyingine kuwadhalilisha wagombea na kuwafanyia fujo, nao wachukuliwe hatua.Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali, Bunge letu jipya linalokwenda kuundwa hivi karibuni baada ya uchaguzi Mkuu, lina hali mbaya sana ya kuwa liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni.
Swali ni Jee NEC, Rais Dr. Mwinyi na Rais Dr. Magufuli wataingia huruma na kuokoa jahazi kwa kuliokoa Bunge letu la JMT ili liweze kuwa na kambi rasmi ya upinzani Bungeni?.
Declaration of Interest
Japo mimi ni kada wa chama cha siasa, na uchaguzi umekwisha, sasa narejea kwenye zile safu zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo zinatanguliza uzalendo kwa maslahi ya taifa letu Tanzania, hivyo nakuomba unisome with clear conscious kama mnamsoma Mtanzania mwingine yoyote, lakini kama tayari umeisha ni lebo mimi ni kada na kujiambia kila ninachoandika ni kwa maslahi ya chama changu na sio maslahi ya taifa, nakushauri uishie hapa, maana hata ukiendelea kunisoma with pre conceived opinion, hautaweza kuiona rationale ya bandiko hili.
Na kwa vile hili ndilo bandiko langu la kwanza Jukwaa la Siasa baada ya Uchaguzi, naomba kuchukua fursa hii kumpongeza Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa ushindi wa kishindo, nakipongeza Chama changu CCM, na kupongeza wote waliodhinda.
Japo ni lengo la kila mwana CCM, kuona chama chake kinashinda viti vyote na kata zote, ila pia kuna baadhi ya wana CCM, ambao ni makada wazalendo zaidi, wamefurahishwa na ushindi wa kishindo wa CCM, ila pia ni wazalendo zaidi kwa nchi kuliko chama, tungependa kuona wapinzani makini wachache wakiingia Bungeni ili kujenga ile dhana ya Bunge la vyama vingi. Hivyo kushindwa kwa mtu kama Zitto ni masikitiko kwa wana CCM wazalendo wengi wa type yangu!. Tunapenda Bunge la CCM, lakini pia lenye mwamko na msisimko wa challenges za upinzani.
Hivyo kwenye kushangilia ushindi, nawasihi viongozi wetu na wana CCM wazalendo wenzangu, tushangilie kwa kiasi, tusiwatambie upinzani, tusiwakejeli, kuwatukana wala kuwabeza, kwasababu nao ni Watanzania wenzetu na wamechaguliwa na Watanzania, ila kura zao hazikutosha, hivyo kwenye hotuba zetu, tupunguze kujimwambafy na badala yake tuongeze humility na kuhutubia hotuba za upendo ku heal na sio za ku hurts ili kuliponya taifa na machungu ya kushindwa na kuliunganisha taifa tuwe na upendo, umoja, mshikamano na ushirikiano kuijenga nchi yetu.
Wapinzani
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, uchaguzi umekwisha, aliyeshinda ameshinda kwa haki na kihalali, aliyeshindwa ameshindwa kwa haki na kihalali, kwa kutumia kanuni ya " the end justifies the means", tukubali matokeo, kazi sasa ibaki ni moja tuu, kuijenga nchi yetu kwa kutoa kila aina ya ushirikiano kwa washindi.
Vitabu vya dini zote vinafundisha Wananchi kutii mamlaka halali. Baada ya uchaguzi kumalizika na rais kupatikana na kuapishwa, kile kitendo cha kuapishwa ni kumhalalisha rasmi hivyo baada ya rais Magufuli kuapishwa, sasa yeye ni mamlaka halali, ndiye rais wa JMT, ni rais wa Watanzania wote, waliomchagua, wasio mchagua, hata ambao hawakupiga kura, rais Magufuli ndiye rais wa nchi, tutii mamlaka halali.
Baada ya kuapishwa na kuanza kazi, hakuna kitu kinachoitwa kususa, kutokubali matokeo au kutomtambua rais, huko ni kujifurahisha tuu, kwa sababu tayari rais yupo na ana exist, umtambue, usimtambue, yeye ndio rais wako na yupo kwa ajili yako. Unaweza usimpende, unaweza usimkubali, lakini huwezi kutomtambua!. Hivyo viongozi wa upinzani acheni hadaa za kuwahadaa wafuasi wenu kuwa hamumtambui rais. Rais ni mtu mwenye status of duality.
1. Rais Magufuli ni mtu, ni binadamu, unaweza usimpende, usimkubali na ukakataa kutambua ushindi wake, that is human, kama humpendi mtu, hakuna anayeweza kukulazimisha umpende au umkubali, hilo una uhuru nalo.
2. Rais Magufuli ni Taasisi ya urais, president institution, hii ni mamlaka, hakuna choice ya kuipenda, kuikubali au kuitambua, ipo kisheria hivyo ni lazima uiheshimu, na kuitii mamlaka hii, it's not a matter of choice, its an obligation, ni lazima kuitii mamlaka na usipotii, mamlaka inakushughulikia, ndio maana hata sheria, kutokujua jambo fulani ni kosa kisheria, is not an excuse sheria isi act on you, hivyo hakuna kitu kinachoitwa kutokumtambua rais.
Huo ulikuwa ni utangulizi tuu kuwekana sawa, mada ya leo ni hii.
Kufuatia poor performance ya vyama vya upinzani kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, kwa Watanzania kuvikataa na badala yake kukichagua CCM pekee, but 4!, idadi hiyo haiwezi kutimiza akidi inayotakiwa kuweza kuunda kambi rasmi ya upinzani Bungeni.
Ibara ya 14 ya Kanuni za Bunge zinaeleza
2) Wabunge wote wa Upinzani wanaweza kuunda Kambi Rasmi ya Upinzani iwapo idadi yao itakuwa si chini ya asilimia kumi na mbili na nusu ya Wabunge wote.
(3) Chama cha Upinzani hakitakuwa na haki ya kuchagua Kiongozi wa Upinzani Bungeni, isipokuwa tu kama kina idadi ya Wabunge wasiopungua asilimia kumi na mbili na nusu ya Wabunge wote.
Idadi ya Wabunge wote wa Bunge la JMT ni 357, hivyo asilimia 12.5% ni wabunge 44.
Kwa matokeo ya uchaguzi huu, hata baada ya allocation ya wabunge wa viti maalum, idadi hiyo haiwezi kufikiwa, hivyo Bunge lijalo, lina hati hati ya kutokuwa na kambi ya upinzani Bungeni, kambi hii ikikosekana, maana yake, hakutakuwa na serikali kivuli, hivyo bajeti za serikali tuu zitawasilishwa bila maoni ya kambi ya upinzani, jambo ambalo is not healthy kwa Bunge la vyama vingi.
Watu watatu pekee wenye uwezo wa kuokoa jahazi hili, ni
1. Tume ya Taifa ya Uchaguzi, ikubali kutoa nafasi ya upendeleo kwa viti maalum vya upinzani hata kama hawakukidhi vingezo.
Mfano, maadam sifa ya kupata viti maalum ni chama kupata asilimia 10 ya kura zote, then Tume inaweza kuamua, wale wagombea urais wote waliopata kura zaidi ya asilimia 10%, wote waingie Bungeni.
2. Rais wa Zanzibar, anazo nafasi 10 za uteuzi wa wawakilishi, katika nafasi hizo zote 10, ateue wawakilishi 10 wa vyama vya upinzani, kati ya hao 10, wawakilishi 5, waingie kwenye GNU, na wawakilishi 5 waingie kwenye Bunge la JMT toka Baraza la Wawakilishi. This is a very big sacrifice to make.
3. Rais wa JMT, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, na yeye ana nafasi zake za uteuzi wa wabunge 10. Usually lengo la uteuzi huu ni ili rais aweze kupata watu wa kutosha kumsaidia, kwa kuwa mawaziri, lakini kwa line up ya walioshinda CCM, kuna line up ya kushibisha mawaziri wote, na bado akabakiwa na reserve team inayoweza kuunda Baraza la Mawaziri la akiba.
Hivyo kama rais Magufuli akiingia huruma, akaamua kuliokoa Bunge letu tukufu, then na yeye ateue angalau wabunge 6 wa upinzani kuingia Bungeni kwenda kuimarisha upinzani, na rais Magufuli anaweza kuitumia kete hii kupiga ndege wawili kwa jiwe moja.
1. Kuuokoa Upinzani 2. To heal the nation from the election wounds ambazo to some ni very painful na kuna watu wako very bitter!.
Kwa ushauri wangu, napendekeza rais Magufuli awateue hawa wafuatao
1. Tundu Lissu- aligombea nae
2. Zitto Kabwe - Most Interactive MP
3. James Mbatia- Very Compromising
4. Prof Haruna Lipumba - Good Puppeteer
5. JJ.MNYIKA- Mjengaji hoja mzuri
Nafasi tano zilizobaki ni za wanawake, tunamuomba Magufuli amuangazie yule Queen Sendiga miongoni mwa wanawake hao.
Hili likifanyika, litatibu makovu ya uchaguzi Mkuu huu, na kuingiza vichwa vya upinzani ambavyo vitalichangamsha Bunge letu na kuliongezea msisimko.
Hili lusipofanyika, Bunge la chama kimoja, bila any challenges, japo litaharakisha maendeleo bila upinzani, litakosa msisimko na lita bore!.
Kwa kumalizia, namalizia kwa lile swali la msingi, kuwa Bunge jipya lina hali mbaya liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kambi rasmi ya upinzani Bungeni.
Swali ni Jee NEC, Rais Dr. Mwinyi na Rais Dr. Magufuli wataingia huruma kuliokoa Bunge letu la JMT ili liweze kuwa na kambi rasmi ya upinzani Bungeni?.
Jibu la swali hili, litapatikana ndani ya kipindi cha wiki moja kuanzia Jumatatu Ijayo.
Nawatakia Jumamosi Njema
Paskali
Rejea za Bunge la Chama Kimoja
Uchaguzi 2020 - Japo ni mchungu 'Kumesa' lakini ndio ukweli wenyewe; watakaorudi Bungeni ni 'wa kijani', kubali kataa. Mwenye masikio na asikie!
Wanabodi, "Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' " Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!. Japo maneno haya ni maneno machungu kumeza, kwasababu Tanzania ni ya Watanzania wote na siyo ya 'wakijani' tuu...www.jamiiforums.com
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
Wanabodi, nimeishawahi kusema sana humu, na sasa narudia tena, kuwa "Kauli Huumba". Kauli ya uongo ukisemwa sana, na kuachwa na kurudiwa rudiwa, bila kukanushwa, sio kuwa uongo huo unaweza kuonekana kama ni ukweli, bali uongo huo unaweza kabisa kugeuka kuwa kweli, kwa sababu kauli nyingine zina...www.jamiiforums.com
Hakuna kitu kama hiki Bro, acha kamba Mzeesasa narejea kwenye zile safu zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa"
Well said!Mkuu kaa kimya tu, endelea kutukuza uchaguzi wenu wa mgumashi. Acha kutupunga sisi wapinzani kuhusu kuongezewa wabunge hatutaki kabisa. Hata huyo mmoja aliyepata hatumtaki.
Mna nini nyie CCM, mnalazimisha kuwe na wabunge wa upinzani kilazima? Tumesema hatutaki ,full stop.
Maana ya Mayalla ni njaaKwahiyo mwanzo ulijitoa na kuwa si mzalendo kwa muda?
Ambayo ni 85% ya vituoWanaweza kupata wabunge wa upinzani kwa kubatilisha matokeo ya maeneo yote ambako mapungufu yako dhahiri. Maeneo ambayo wagombea wa vyama vya upinzani walitiwa ndani ili wasiwasilishe fomu zao za kugombea, sehemu ambazo wakurugenzi waliwazuia wapinzani kwa kuwazuia "physically", kutokuwepo walipopaswa, kufoji sahihi n.k. Matokeo kutoka kwenye vituo ambayo hayana mashiko nayo yafutwe. K.m. hesabu za wapiga kura ni zaidi ya waliondiakisha n.k. Matokeo kwenye vituo ambayo mawakala wa vyama rafiki hawakuwepo nayo yabatilishwe. Aidha wasimamizi wa vituo vyote ambavyo matokeo yake yatabatilishwa wachukuliwe hatua za kitendaji na kisheria. Hii itatuma ujumbe utafika kwa wasimamizi na uchaguzi wa marudio utakuwa wa haki na uwazi. Aidha wale wote ambao walihusika kwa namna moja au nyingine kuwadhalilisha wagombea na kuwafanyia fujo, nao wachukuliwe hatua.
Amandla..
Mwnyekiti alishasema wananchi wasimchanganyie magunzi na betri. Kwa halili na haramu, amefanikiwa kupata alichotaka.Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali, Bunge letu jipya linalokwenda kuundwa hivi karibuni baada ya uchaguzi Mkuu, lina hali mbaya sana ya kuwa liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni.
Swali ni Jee NEC, Rais Dr. Mwinyi na Rais Dr. Magufuli wataingia huruma na kuokoa jahazi kwa kuliokoa Bunge letu la JMT ili liweze kuwa na kambi rasmi ya upinzani Bungeni?.
Declaration of Interest
Japo mimi ni kada wa chama cha siasa, na uchaguzi umekwisha, sasa narejea kwenye zile safu zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo zinatanguliza uzalendo kwa maslahi ya taifa letu Tanzania, hivyo nakuomba unisome with clear conscious kama mnamsoma Mtanzania mwingine yoyote, lakini kama tayari umeisha ni lebo mimi ni kada na kujiambia kila ninachoandika ni kwa maslahi ya chama changu na sio maslahi ya taifa, nakushauri uishie hapa, maana hata ukiendelea kunisoma with pre conceived opinion, hautaweza kuiona rationale ya bandiko hili.
Na kwa vile hili ndilo bandiko langu la kwanza Jukwaa la Siasa baada ya Uchaguzi, naomba kuchukua fursa hii kumpongeza Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa ushindi wa kishindo, nakipongeza Chama changu CCM, na kupongeza wote waliodhinda.
Japo ni lengo la kila mwana CCM, kuona chama chake kinashinda viti vyote na kata zote, ila pia kuna baadhi ya wana CCM, ambao ni makada wazalendo zaidi, wamefurahishwa na ushindi wa kishindo wa CCM, ila pia ni wazalendo zaidi kwa nchi kuliko chama, tungependa kuona wapinzani makini wachache wakiingia Bungeni ili kujenga ile dhana ya Bunge la vyama vingi. Hivyo kushindwa kwa mtu kama Zitto ni masikitiko kwa wana CCM wazalendo wengi wa type yangu!. Tunapenda Bunge la CCM, lakini pia lenye mwamko na msisimko wa challenges za upinzani.
Hivyo kwenye kushangilia ushindi, nawasihi viongozi wetu na wana CCM wazalendo wenzangu, tushangilie kwa kiasi, tusiwatambie upinzani, tusiwakejeli, kuwatukana wala kuwabeza, kwasababu nao ni Watanzania wenzetu na wamechaguliwa na Watanzania, ila kura zao hazikutosha, hivyo kwenye hotuba zetu, tupunguze kujimwambafy na badala yake tuongeze humility na kuhutubia hotuba za upendo ku heal na sio za ku hurts ili kuliponya taifa na machungu ya kushindwa na kuliunganisha taifa tuwe na upendo, umoja, mshikamano na ushirikiano kuijenga nchi yetu.
Wapinzani
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, uchaguzi umekwisha, aliyeshinda ameshinda kwa haki na kihalali, aliyeshindwa ameshindwa kwa haki na kihalali, kwa kutumia kanuni ya " the end justifies the means", tukubali matokeo, kazi sasa ibaki ni moja tuu, kuijenga nchi yetu kwa kutoa kila aina ya ushirikiano kwa washindi.
Vitabu vya dini zote vinafundisha Wananchi kutii mamlaka halali. Baada ya uchaguzi kumalizika na rais kupatikana na kuapishwa, kile kitendo cha kuapishwa ni kumhalalisha rasmi hivyo baada ya rais Magufuli kuapishwa, sasa yeye ni mamlaka halali, ndiye rais wa JMT, ni rais wa Watanzania wote, waliomchagua, wasio mchagua, hata ambao hawakupiga kura, rais Magufuli ndiye rais wa nchi, tutii mamlaka halali.
Baada ya kuapishwa na kuanza kazi, hakuna kitu kinachoitwa kususa, kutokubali matokeo au kutomtambua rais, huko ni kujifurahisha tuu, kwa sababu tayari rais yupo na ana exist, umtambue, usimtambue, yeye ndio rais wako na yupo kwa ajili yako. Unaweza usimpende, unaweza usimkubali, lakini huwezi kutomtambua!. Hivyo viongozi wa upinzani acheni hadaa za kuwahadaa wafuasi wenu kuwa hamumtambui rais. Rais ni mtu mwenye status of duality.
1. Rais Magufuli ni mtu, ni binadamu, unaweza usimpende, usimkubali na ukakataa kutambua ushindi wake, that is human, kama humpendi mtu, hakuna anayeweza kukulazimisha umpende au umkubali, hilo una uhuru nalo.
2. Rais Magufuli ni Taasisi ya urais, president institution, hii ni mamlaka, hakuna choice ya kuipenda, kuikubali au kuitambua, ipo kisheria hivyo ni lazima uiheshimu, na kuitii mamlaka hii, it's not a matter of choice, its an obligation, ni lazima kuitii mamlaka na usipotii, mamlaka inakushughulikia, ndio maana hata sheria, kutokujua jambo fulani ni kosa kisheria, is not an excuse sheria isi act on you, hivyo hakuna kitu kinachoitwa kutokumtambua rais.
Huo ulikuwa ni utangulizi tuu kuwekana sawa, mada ya leo ni hii.
Kufuatia poor performance ya vyama vya upinzani kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, kwa Watanzania kuvikataa na badala yake kukichagua CCM pekee, but 4!, idadi hiyo haiwezi kutimiza akidi inayotakiwa kuweza kuunda kambi rasmi ya upinzani Bungeni.
Ibara ya 14 ya Kanuni za Bunge zinaeleza
2) Wabunge wote wa Upinzani wanaweza kuunda Kambi Rasmi ya Upinzani iwapo idadi yao itakuwa si chini ya asilimia kumi na mbili na nusu ya Wabunge wote.
(3) Chama cha Upinzani hakitakuwa na haki ya kuchagua Kiongozi wa Upinzani Bungeni, isipokuwa tu kama kina idadi ya Wabunge wasiopungua asilimia kumi na mbili na nusu ya Wabunge wote.
Idadi ya Wabunge wote wa Bunge la JMT ni 357, hivyo asilimia 12.5% ni wabunge 44.
Kwa matokeo ya uchaguzi huu, hata baada ya allocation ya wabunge wa viti maalum, idadi hiyo haiwezi kufikiwa, hivyo Bunge lijalo, lina hati hati ya kutokuwa na kambi ya upinzani Bungeni, kambi hii ikikosekana, maana yake, hakutakuwa na serikali kivuli, hivyo bajeti za serikali tuu zitawasilishwa bila maoni ya kambi ya upinzani, jambo ambalo is not healthy kwa Bunge la vyama vingi.
Watu watatu pekee wenye uwezo wa kuokoa jahazi hili, ni
1. Tume ya Taifa ya Uchaguzi, ikubali kutoa nafasi ya upendeleo kwa viti maalum vya upinzani hata kama hawakukidhi vingezo.
Mfano, maadam sifa ya kupata viti maalum ni chama kupata asilimia 10 ya kura zote, then Tume inaweza kuamua, wale wagombea urais wote waliopata kura zaidi ya asilimia 10%, wote waingie Bungeni.
2. Rais wa Zanzibar, anazo nafasi 10 za uteuzi wa wawakilishi, katika nafasi hizo zote 10, ateue wawakilishi 10 wa vyama vya upinzani, kati ya hao 10, wawakilishi 5, waingie kwenye GNU, na wawakilishi 5 waingie kwenye Bunge la JMT toka Baraza la Wawakilishi. This is a very big sacrifice to make.
3. Rais wa JMT, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, na yeye ana nafasi zake za uteuzi wa wabunge 10. Usually lengo la uteuzi huu ni ili rais aweze kupata watu wa kutosha kumsaidia, kwa kuwa mawaziri, lakini kwa line up ya walioshinda CCM, kuna line up ya kushibisha mawaziri wote, na bado akabakiwa na reserve team inayoweza kuunda Baraza la Mawaziri la akiba.
Hivyo kama rais Magufuli akiingia huruma, akaamua kuliokoa Bunge letu tukufu, then na yeye ateue angalau wabunge 6 wa upinzani kuingia Bungeni kwenda kuimarisha upinzani, na rais Magufuli anaweza kuitumia kete hii kupiga ndege wawili kwa jiwe moja.
1. Kuuokoa Upinzani 2. To heal the nation from the election wounds ambazo to some ni very painful na kuna watu wako very bitter!.
Kwa ushauri wangu, napendekeza rais Magufuli awateue hawa wafuatao
1. Tundu Lissu- aligombea nae
2. Zitto Kabwe - Most Interactive MP
3. James Mbatia- Very Compromising
4. Prof Haruna Lipumba - Good Puppeteer
5. JJ.MNYIKA- Mjengaji hoja mzuri
Nafasi tano zilizobaki ni za wanawake, tunamuomba Magufuli amuangazie yule Queen Sendiga miongoni mwa wanawake hao.
Hili likifanyika, litatibu makovu ya uchaguzi Mkuu huu, na kuingiza vichwa vya upinzani ambavyo vitalichangamsha Bunge letu na kuliongezea msisimko.
Hili lusipofanyika, Bunge la chama kimoja, bila any challenges, japo litaharakisha maendeleo bila upinzani, litakosa msisimko na lita bore!.
Kwa kumalizia, namalizia kwa lile swali la msingi, kuwa Bunge jipya lina hali mbaya liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kambi rasmi ya upinzani Bungeni.
Swali ni Jee NEC, Rais Dr. Mwinyi na Rais Dr. Magufuli wataingia huruma kuliokoa Bunge letu la JMT ili liweze kuwa na kambi rasmi ya upinzani Bungeni?.
Jibu la swali hili, litapatikana ndani ya kipindi cha wiki moja kuanzia Jumatatu Ijayo.
Nawatakia Jumamosi Njema
Paskali
Rejea za Bunge la Chama Kimoja
Uchaguzi 2020 - Japo ni mchungu 'Kumesa' lakini ndio ukweli wenyewe; watakaorudi Bungeni ni 'wa kijani', kubali kataa. Mwenye masikio na asikie!
Wanabodi, "Watakao Rudi Bungeni ni 'Wakijani' " Haya sii maneno yangu, na sio maneno ya kuambiwa ni maneno yaliyotamkwa na ambayo nimeyasikia mwenyewe kwa masikio yangu mwenyewe!. Japo maneno haya ni maneno machungu kumeza, kwasababu Tanzania ni ya Watanzania wote na siyo ya 'wakijani' tuu...www.jamiiforums.com
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja
Wanabodi, nimeishawahi kusema sana humu, na sasa narudia tena, kuwa "Kauli Huumba". Kauli ya uongo ukisemwa sana, na kuachwa na kurudiwa rudiwa, bila kukanushwa, sio kuwa uongo huo unaweza kuonekana kama ni ukweli, bali uongo huo unaweza kabisa kugeuka kuwa kweli, kwa sababu kauli nyingine zina...www.jamiiforums.com
Hoja hii haina maana yoyote kwani ushiriki mbungeni hautakiwi uwe wa haruma bali wa kikatiba. Kilichotokea kilipangwa kiwe hivyo kwa hiyo tumwache mheshimiwa afaidi yale aliyopanga na kutekeleza kwa ufanisi mkubwa.Mkuu lengo la CCM limetimia "kuufuta upinzani" sasa sijui kama bwana Paskali hoja yako itasikizwa.
Siyo tu amejaribu bali amepambana.Mwenye kujua maana ya kada anisaidie Tafadhali.Mjumbe umejaribu kwa Kila namna kujificha nyuma ya huruma kwa wapinzani na uzalendo wa nchi, hakika nakwambia uandishi wako,ujengaji wako wa hoja unakuanika mahaba yako yaliopitiliza kwa ccm kwenye situation hii.
Kitu pekee ulicho fanikiwa kwenye pandiko hili ni kutumia lugha ya upole na staha, maneno ya huruma kuonyesha tambo za kisiasa na majivuno kwa hao unaowaita wapinzani....