Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?

Sijaelewa unaposema wakiingiwa na huruma?
Kwani wao hawajui wajibu wao kuwa ni kuwatumikia watanzania na kuifanya Tanzania isonge mbele?

Yaani akili zetu sijui tunazificha wapi. Tunachagua watu watuongoze alafu tunataka watuonee huruma.
Mkuu nusuhela , kwenye urais kuna appointments za aina mbili, professional appointments za watendaji ambapo rais anashauriwa na vyombo vya vetting vinahusika, kisha yeye anapelekewa majina.

Lakini kuna political appointees, rais anafanya at his own discretion, hivyo zile nafasi 10 za uteuzi wa wabunge na wawakilishi, ni discretionary appointments at presidents pleasures, rais hapangiwi, hivyo ili hili lifanyike, baada ya Watanzania kuwakataa wapinzani, ni rais alihurumie Bunge kwa kulipatia wabunge wa upinzani ili liendelee kuwa ni Bunge la vyama vingi.

Ni kwa huruma tuu na sio wajibu .
Unaweza kujielimisha zaidi kuhusu teuzi za rais


P
 
Miaka yote tangu Tanzania kupata Uhuru imetawaliwa na Chama kimoja,ambacho Kiko Madarakani mpaka Leo

Kama mmepigwa, mmepigwa na nani, Nani aliekuwa anaandika mikataba mibovu ya serikali, je ni LISU?

Hapo mlipo hamtoki,mnazidi kujichimbia shimo,mmempa nguvu kubwa mtu mmoja,anafanya anavyotaka, Nchi haiongozwi hivyo

Mtu Kama wewe Wazungu wanamwita BIGOT,umempita hata mjinga,unaamini tu kile ulichoambiwa,hubadiliki
 
Ha ha ha haaaaaa ... Awateue watakao kwenda kumpinga ha ha ha [emoji23] [emoji38] [emoji1787]
 
wa ushauri wangu, napendekeza rais Magufuli awateue hawa wafuatao
1. Tundu Lissu- aligombea nae
2. Zitto Kabwe - Most Interactive MP
3. James Mbatia- Very Compromising
4. Prof Haruna Lipumba - Good Puppeteer
5. JJ.MNYIKA- Mjengaji hoja mzuri
Hao baba hawezi kuwachagua , zitto ameleta kashfa sana katika uongozi wake akifanya hovyo nitaamini ule useme wa magufuli ni (malaika)

Kumbuka
 
hakuna haja ya kufikiria tutaundaje kambi rasmi ya upinzani, ili mradi tu mmetimiza azma yenu.
 
Mkuu Jumbe Brown , asante kuchangia uzi huu, ushauri kama huu wako, pia ulitolewa na Mkuu Mzee Mwanakijiji

P
 
Unazungumzia Huruma badala ya Takwa la Katiba
Pathetic
 
πŸ‘πŸ‘
πŸ‘
 
Unazungumzia Huruma badala ya Takwa la Katiba
Pathetic
Sio kila tatizo linatatuliwa kwa kufuata katiba, sheria, taratibu na kanuni, matatizo mengine yanatatuliwa kwa kutumia busara tuu, utu, huruma na Ubinaadamu.

P
 
Huyu bana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] faida za zambi hazigawanywi au hamna contract kwenye unlawful object

Yaani Kama ngurume ni haramu hadi mchuzi wake pia
 
To late Babu

Ulikuwa wapi kushauri hili pindi walipotaganza kuuwa upinzani

L

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…