Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kuna ubabaishaji mwingi sana nssf nimekuwa mwanachama kwa miaka 19 sijawahi kufaidika na chochote kwenye mfuko huu. Nimepoteza ajira yangu sasa naangaika kupata fao la kukosa ajira kwa miezi minne nikusumbuliwa bila kupata chochote. Kila nikienda napangiwa tarehe ingine. Inauma sana aiseeNi jambo lisiloeleweka kwanini Bunge kupitia kamati husika linashindwa kuichunguza na kuikagua NSSF ambayo kwa sasa ni mahututi. Kwa muda wa miaka miwili sasa NSSF imekuwa ikishindwa kuwalipa kwa wakati wastaafu, inachofanya kwanza ni kukusanya michango ya walio kazini (hand to mouth) ili iweze kuwalipa wastaafu. Katika miaka hii miwili NSSF imekuwa ikitumia kisingizio cha uhakiki, kabla ya hapo ilikuwa ikitumia kisingizio cha shirika la POSTA kuchelewesha malipo, hata hivyo sasa ni NSSF ndio wenye jukumu la kutoa malipo lakini wanashindwa.
Haitakuwa jambo jema Bunge kusubiri mpaka lione NSSF imekufa, wakati ni huu kabla mamia ya wastaafu hawajaathirika.
Nani kakuambia Tanzania kuna bunge?Ni jambo lisiloeleweka kwanini Bunge kupitia kamati husika linashindwa kuichunguza na kuikagua NSSF ambayo kwa sasa ni mahututi. Kwa muda wa miaka miwili sasa NSSF imekuwa ikishindwa kuwalipa kwa wakati wastaafu, inachofanya kwanza ni kukusanya michango ya walio kazini (hand to mouth) ili iweze kuwalipa wastaafu. Katika miaka hii miwili NSSF imekuwa ikitumia kisingizio cha uhakiki, kabla ya hapo ilikuwa ikitumia kisingizio cha shirika la POSTA kuchelewesha malipo, hata hivyo sasa ni NSSF ndio wenye jukumu la kutoa malipo lakini wanashindwa.
Haitakuwa jambo jema Bunge kusubiri mpaka lione NSSF imekufa, wakati ni huu kabla mamia ya wastaafu hawajaathirika.
Huu ni ukweli mchungu ila jiandae kuitwa kwenye Kamati ya nduGUYNani kakuambia Tanzania kuna bunge?
Kile ni kijiwe cha wapumbavu wa CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali inahusika kwenye hili pia.Shirika limekopwa pesa nyingi kwa ajili ya miradi ya serikali.Ni jambo lisiloeleweka kwanini Bunge kupitia kamati husika linashindwa kuichunguza na kuikagua NSSF ambayo kwa sasa ni mahututi. Kwa muda wa miaka miwili sasa NSSF imekuwa ikishindwa kuwalipa kwa wakati wastaafu, inachofanya kwanza ni kukusanya michango ya walio kazini (hand to mouth) ili iweze kuwalipa wastaafu. Katika miaka hii miwili NSSF imekuwa ikitumia kisingizio cha uhakiki, kabla ya hapo ilikuwa ikitumia kisingizio cha shirika la POSTA kuchelewesha malipo, hata hivyo sasa ni NSSF ndio wenye jukumu la kutoa malipo lakini wanashindwa.
Haitakuwa jambo jema Bunge kusubiri mpaka lione NSSF imekufa, wakati ni huu kabla mamia ya wastaafu hawajaathirika.
😂😂😂😂😂 comment of the dayNani kakuambia Tanzania kuna bunge?
Kile ni kijiwe cha wapumbavu wa CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Na chadema wakiwemo wote si huwa wanaenda kujadili upumbavuNani kakuambia Tanzania kuna bunge?
Kile ni kijiwe cha wapumbavu wa CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mnaposema mradi ule wa makaazi kigamboni ni white elephant kwani ulikuwa umekamilika na ukakosa wapangaji huko.POOR INVESTMENT..ndo changamoto watu wamewekeza kwenye mawhite elephat iibao yapo tu..,nenda kigamboni kwe ule mradi unaweza lia..unaambiwa mradi pekee unaorudisha faida ni daraja...all in all hamna plan b tukubaliane na yote
READERS ARE LEADERS
cc
VITABU
Hivi mnaposema mradi ule wa makaazi kigamboni ni white elephant kwani ulikuwa umekamilika na ukakosa wapangaji huko.
mbona haukuwa teyari ila ulisimamishwa kwa sababu sababu tu zisizoeleweka.
mi naona nssf wameyumba kutokana na kupigwa ban kwa miradi yao mingi hawamu hii na kupanguliwa kwa management yao..