cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,570
- 5,508
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeguswa? Ni kikao cha Mazuzu wa ccm.Na chadema wakiwemo wote si huwa wanaenda kujadili upumbavu
Chadema wana hekima wapo 10 tu,wanaelemewa na wapumbavu 340 wa CCM wakiongozwa na mgonjwa wa akili Ndugai.Na chadema wakiwemo wote si huwa wanaenda kujadili upumbavu
Hawana pesa ya kukulipa wako hoi, majibu yao kwa miaka miwili sasa ni wako kwenye uhakiki!Kuna ubabaishaji mwingi sana nssf nimekuwa mwanachama kwa miaka 19 sijawahi kufaidika na chochote kwenye mfuko huu. Nimepoteza ajira yangu sasa naangaika kupata fao la kukosa ajira kwa miezi minne nikusumbuliwa bila kupata chochote. Kila nikienda napangiwa tarehe ingine. Inauma sana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo ilivyo hawana kitu, kilamwezi hutuma ujumbe kwa wastaafu wa kutoweza kulipa mpaka kabla ya mwezi kuisha, ila hawana uhakika wa tarehe! Maana wanategemea makusanyo.Hela za wastaafu Ni nyingi kiasi cha wao kushindwa on time?
Hakuna mbunge yeyote anayejali wananchi wote lao moja na Ukitaka kujua hilo unakumbuka wakati maslahi yao ya posho yaliguswa wote wslichachamaa kupinga hilo jambo haikujulikana nani mpinzan wote waligeuka na kuwa kitu kimojaChadema wana hekima wapo 10 tu,wanaelemewa na wapumbavu 340 wa CCM wakiongozwa na mgonjwa wa akili Ndugai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisikia haya, nikalinganisha na sifa alizokuwa anamwagiwa bw. Dau! Hakika binadamu wa Afrika hii hatujafikia ubinadamu unaosemekana tunao. Bado tunateteana kwa dini, makabila, vyama vya siasa, n.k. Waliokuwa wanamtetea wote ni kwa sababu ya dini. Alipoondolewa ikawa eti anaonewa na wengine kuona ni dini yao inaonewa. Alisifiwa kwa elimu ya kutosha sana, leo hii ndo hiyo NSSF inavyokwenda. Huwezi ukasema ni kwa sababu ameondoka, ni kwa sababu alikuwepo na kufanya ufilauni huo.Ni jambo lisiloeleweka kwanini Bunge kupitia kamati husika linashindwa kuichunguza na kuikagua NSSF ambayo kwa sasa ni mahututi. Kwa muda wa miaka miwili sasa NSSF imekuwa ikishindwa kuwalipa kwa wakati wastaafu, inachofanya kwanza ni kukusanya michango ya walio kazini (hand to mouth) ili iweze kuwalipa wastaafu. Katika miaka hii miwili NSSF imekuwa ikitumia kisingizio cha uhakiki, kabla ya hapo ilikuwa ikitumia kisingizio cha shirika la POSTA kuchelewesha malipo, hata hivyo sasa ni NSSF ndio wenye jukumu la kutoa malipo lakini wanashindwa.
Haitakuwa jambo jema Bunge kusubiri mpaka lione NSSF imekufa, wakati ni huu kabla mamia ya wastaafu hawajaathirika.
Wabunge wote na bunge zima wote ni wapumbavu
Iko juu ya SSRA kwani waliochota hawawezi kuhojiwa na SSRA wako juu zaidi, ni bunge tu linaloweza.Hii ni kazi ya SSRA. Nafikiri hawa jamaa wa SSRA wanatakiwa kuendesha ukaguzi maalum wa jinsi NSSF wanavyolipa mafao hasa kwenye mikoa ya Dsm, Mwanza, Kagera, Morogoro, Tanga na Dodoma. Watagundua madudu mengi sana aisee. NSSF imeoza mikoani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo Ni kweli,mfano Ni machinga complex.Hatua inabidi zichukuliwe lakini pia serikali katika kuyafirisi haya mashirika haikwepi
Halafu Zito pamoja na ushujaa wake wa kuibua na kusambaza uozo wa serikali, ila kwenye mfuko wa NSSF hajawahi ibua wala kukemea lolote