Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
- #41
Hakuna sababu ya SSRA kuisimamia NSSF kwani mfuko huo hauna senti ya serikali, zilizomo ni za wafanyakazi na waajiri, hivyo NSSF inatakiwa iwe mamlaka kamili.Bunge lipi liingilie NSSF wakati ni Wabunge hao hao ndo wanaliua shirika kwa kukopeshana na kutokulipa madeni? Shirika linakufa pia kwa uzembe wa aliyekuwa anajiita Mkurugenzi wa SSRA, alichokuwa anakijua ni kuwabana wanachama wa mifuko wasifaidike na siyo kuangalia madudu yanayofanywa na mifuko
Sent using Jamii Forums mobile app