Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule alikuwa ni shetaniHivi vikao havina tija, Serikali na Bunge ni kitu kimoja kwa sasa - na hii ndiyo gharama aliyotuachia mwendazake baada ya kuua mawazo mbadala Bungeni kwa njia za giza. - Ni hivi hamuwezi kuendelea kama mna mawazo sawa na mnakubaliana kwa kila jambo.
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 12 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 5 - Maswali na Majibu, Mjadala Bajeti ya Waziri Mkuu
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 12 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 5 - Maswali na Majibu, Mjadala Bajeti ya Waziri Mkuu
Yule mgogo wa darasa la saba ; anajua bila kuwa chawa hatoboi!!Bora hawa wana points za kuongea kuliko yule 'mbunge hovyo' na mwenye elimu duni anaetaka wenzake waache kuongelea issue ya CAG.
Hivi kuna anayefuatilia huu mkutano ?Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 12 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 5 - Maswali na Majibu, Mjadala Bajeti ya Waziri Mkuu
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 12 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 5 - Maswali na Majibu, Mjadala Bajeti ya Waziri Mkuu
MmhBunge kibogoyo linaloundwa na vibogoyo wa chama kimoja waliowekwa kimkakati ili wabadili katiba nyapara atawale milele?